Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Nko poa Chief , uhali gan Asee ![emoji109] [emoji109]Habari chief....nakusalimiaa [emoji1][emoji1][emoji113]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nko poa Chief , uhali gan Asee ![emoji109] [emoji109]Habari chief....nakusalimiaa [emoji1][emoji1][emoji113]
Mimi ni mzima kabisa [emoji4]Nko poa Chief , uhali gan Asee ![emoji109] [emoji109]
Sawa sawa mkuu, jambo LA kheri hilo ,maana uzima Wetu ndo maisha!!.Mimi ni mzima kabisa [emoji4]
SureSawa sawa mkuu, jambo LA kheri hilo ,maana uzima Wetu ndo maisha!!.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji123]
Nitafurahiaje mahusiano sasa nikijua ananicheat?Furahia mahusiano yako kwa kupata sms+calls za mpenzio pasipo yeye kujua,kwa sh 15000 tu
Nipigie 0621 072 026
Hapo pekundu, nitaomba tume huru iundwe kukagua jinsia ya Demiss.Usimfuate PM mwanamke wahivi
[emoji117]Ambaye toka ajiunge JF hajawahi Kupost ( kutoa uzi wake).
[emoji117]ambaye kwenye koment zake anasema ivi "* aisee, hahaa, good ,OK , sawa"* ..yaan short answer.
[emoji117]Ambaye anaandika Nyuzi za Aibu aibu ambazo kiuhalisia mwanamke hawezi andika.
[emoji117]mwanamke anayeandika mambo kwa uchambuzi Wa hali juuu yaaaan kama nimambo ya Kisiasa/Kidunia yeye anajua sanaaaaaa akiandika mpaka unasema yes ...( kikawaida wanawake Wa wavivu wakufatilia izo mambo ,,wanawake wapo obsessed na mambo yanayowapa Furaha tu (ndo maana utakuta mwanamke anaolewa nachoka mbaya akat kwao wapo vzuri ).
[emoji117]*Kwenda kwa makini ktk ID za wanawake ambao anamiaka mingi 2+++ lkn anapost Mbili au tatu).
[emoji117]ID za namna hiii huwa wanakua na ID mbili moja yakiume , moja ya kujifanya jike
[emoji117]ID wanaolia sana kuumizwa na wanaume wao ,, alafu ukifatilia komenti zake , unagundua alikua analia kinafiki..looking for a Mercy
[emoji117]Hizi nibaadhi ya Viashiria ambavyo ukiviona anza kutia mashaka.
Sasa mnaweza endelea kufatilia Ninani ni nani kupitia izo hints .
NB... Kwa uchunguzi Wangu usokua Rasimi
Finally
Finally
Naja[emoji126] [emoji126] [emoji126]Hahah [emoji1379]♂️[emoji1379]♂️
Naja[emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi humu hata wadada wanajipigia sn promo uwe makini tu.
Ukiwa mtu wa kuingia pm za watu kila uonapo comment tu utaishia pabaya