Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Harisi = Halisi.Jina halina shida kwakuwa wengi wetu hawatumii majina harisi isipokuwa tunaweza tambuana kwa kutumia avatar mume atumie ya kiume mke atumie ya kike lakini hii ya mume kutumia avatar ya kike kunatupa shaka juu yake