mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Mpeane namba alafu muonane ikiwezekanaNilikuwa nimeshasikia lakini sikuamini kuwa, kuna midume humu inayotumia avatar ya kike ili kudanganya watu kuwa wao ni wanawake! Inaonekana jambo hili ni kweli. Watu wanajikuta wametembelea pm za midume mitapeli inayopozi kama wasichana warembo!
Hebu wenye uzoefu tuelezeni jinsi ya kuwagundua watu kama hao. Nawasilisha.
Mzigua wangu kwa kuzingua upo poaAnhaaa. Kwahiyo wanawachanganya mnajikuta mmewatongoza kumbe madume menzenu.
Hahahahaaa.. nimezingua kitu gani tena jamani?Mzigua wangu kwa kuzingua upo poa
Ha haa! Sasa nimeweka picha yangu hapo dp... Embu nicheki nikiwa hapo na hao wasumbufu...Hata majina sometimes yanachanganya asee,kama huyu Nichumu Nibebike unaweza kuhisi wa kike ila sio
Habari chief....nakusalimiaa [emoji1][emoji1][emoji113]Usimfuate PM mwanamke wahivi
[emoji117]Ambaye toka ajiunge JF hajawahi Kupost ( kutoa uzi wake).
[emoji117]ambaye kwenye koment zake anasema ivi "* aisee, hahaa, good ,OK , sawa"* ..yaan short answer.
[emoji117]Ambaye anaandika Nyuzi za Aibu aibu ambazo kiuhalisia mwanamke hawezi andika.
[emoji117]mwanamke anayeandika mambo kwa uchambuzi Wa hali juuu yaaaan kama nimambo ya Kisiasa/Kidunia yeye anajua sanaaaaaa akiandika mpaka unasema yes ...( kikawaida wanawake Wa wavivu wakufatilia izo mambo ,,wanawake wapo obsessed na mambo yanayowapa Furaha tu (ndo maana utakuta mwanamke anaolewa nachoka mbaya akat kwao wapo vzuri ).
[emoji117]*Kwenda kwa makini ktk ID za wanawake ambao anamiaka mingi 2+++ lkn anapost Mbili au tatu).
[emoji117]ID za namna hiii huwa wanakua na ID mbili moja yakiume , moja ya kujifanya jike
[emoji117]ID wanaolia sana kuumizwa na wanaume wao ,, alafu ukifatilia komenti zake , unagundua alikua analia kinafiki..looking for a Mercy
[emoji117]Hizi nibaadhi ya Viashiria ambavyo ukiviona anza kutia mashaka.
Sasa mnaweza endelea kufatilia Ninani ni nani kupitia izo hints .
NB... Kwa uchunguzi Wangu usokua Rasimi
Naona umetoa ile avatar ya kimdomo kinakiss...hahahhHa haa! Sasa nimeweka picha yangu hapo dp... Embu nicheki nikiwa hapo na hao wasumbufu...
Duh! Ile Avatar ya cku nyingiii. Bado kumbe unaikumbuka? You must be a genius. You have a very very good memory... Like Trump, you are a 'stable genius'...Naona umetoa ile avatar ya kimdomo kinakiss...hahahh