Hii ya dume kutumia avatar ya kike imekaa vipi?

Siku hizi humu hata wadada wanajipigia sn promo uwe makini tu.


Ukiwa mtu wa kuingia pm za watu kila uonapo comment tu utaishia pabaya
 
Nainakuwaje mtu unatumia avatar ila hata tu kuweka wazi kama wewe ni male au ni female inakuwa kazi me sioni tofauti hapo yamtu ambaye ameshindindwa kujipambanua kuwa yeye ni mwanamke au mwanaume nahuyo unayemzungumzia wewe
 
Hapo pekundu, nitaomba tume huru iundwe kukagua jinsia ya Demiss.
Katika iyo tume mimi nitakuwa mwenyekiti.
Ambao wako tayari tuonane
Cc Demiss
 
Ukiona mwanaume anapenda penda mambo ya kike kike ujue 0715 inamuwasha washa
 
Jina halina shida kwakuwa wengi wetu hawatumii majina harisi isipokuwa tunaweza tambuana kwa kutumia avatar mume atumie ya kiume mke atumie ya kike lakini hii ya mume kutumia avatar ya kike kunatupa shaka juu yake
 
Siku hizi humu hata wadada wanajipigia sn promo uwe makini tu.


Ukiwa mtu wa kuingia pm za watu kila uonapo comment tu utaishia pabaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…