Hii ya dume kutumia avatar ya kike imekaa vipi?

Jina halina shida kwakuwa wengi wetu hawatumii majina harisi isipokuwa tunaweza tambuana kwa kutumia avatar mume atumie ya kiume mke atumie ya kike lakini hii ya mume kutumia avatar ya kike kunatupa shaka juu yake
Harisi = Halisi.
 
Wengine ni matapeli wengine machoko. Ni hivyo tu
 
Dunia imegeuka saivi. Nasikitika kuna wanaume wanafanya hivyo ili kutapeli watu ama kutafuta soko. Kama yule wa maeneo ya Tanga. Yeye kabidilisha mpaka mavazi maana anavaa mawigi, amejimake up vya kutosha ila ukishafika naye hoteli akiwa naked ndo unamgundua ni man. Hakika uanaume ni kitu ambacho kinatoweka duniani kwa kasi ya ajabu. Na hii ni dalili ya kutawala mwanamke na ndo dunia itakua bai bai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…