Huyo Kagere ana miaka 39 atauzwaje kwa hela hiyo?Yanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana, ame extend mkataba, bado tunaye miaka miwili nenda kwenye official news source za Simba, hiyo ni habari ya saa 7 kamili leoYanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu hawa jamaa aliyewapa jina la mbumbumbu hakukosea kabisa yaani..Huyo Kagere ana miaka 39 atauzwaje kwa hela hiyo?
Hehe!! Wabongo kwa kujiongeza kutafsir hatujambo!!Ndio.
Haya sasa zamu yako kujibu!!
Unaupenda mkia eeh?
Yaani ni sheeder, Mbumbumbu FC.Mkuu hawa jamaa aliyewapa jina la mbumbumbu hakukosea kabisa yaani..
Ukitamka in terms of Tsh utaona hela nyingi sana lakini ni US$ laki tano tuHakuna mchezaji wa 1.2b anayecheza Tanzania kwa sasa. Acheni upotoshaji.
Kweli wewe ni mbumbumbuYanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wengi wetu tunaziona kwa karatasi tu so kumiliki.Ukitamka in terms of Tsh utaona hela nyingi sana lakini ni US$ laki tano tu
Kinakuuma nini hao serengeti wamewapa nini, football is result orientedkwani mmesikia zamalek wana kituo cha kulelea wazee??? msiwapandikizie zamalek kes za ajab ajab maana hat huyo mzee wen kagere hawamjui.
alaf huyo mzee wen kagere hana mahal pa kwend maan hamna tim inataka wazee na tayar mmesha muongezea mkatab wa miak 2.
Kama Huna huna tu, waache wenye nazo watumie.HUU ushabiki maandazi tuuache tuangalie future ya mpira wetu.Simba huwa ni Mbumbumbu lakin nadhani wewe umezidi viwango.
Suala la wachezaji ni very complecated kuliko unavyozani.Hakuna kiwango kama hicho simba wanapata ama wana hela yoyote ya kufanya hayo.siku ukiacha umbumbu na kuanza kufuatilia uhalisia basi utaelewa
Eti vinguvu vingi[emoji1][emoji1][emoji1]I wish I were IGP Simba nguvu moja Yanga vinguvu vingi vidogo vidogo visivyoweza kucheza ACL kwa mafanikio
Yanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]