Hii ya Kagere ndio KUBWA KULIKO 900m

Hii ya Kagere ndio KUBWA KULIKO 900m

Yanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo Kagere ana miaka 39 atauzwaje kwa hela hiyo?
 
Yanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana, ame extend mkataba, bado tunaye miaka miwili nenda kwenye official news source za Simba, hiyo ni habari ya saa 7 kamili leo
 
I wish I were IGP Simba nguvu moja Yanga vinguvu vingi vidogo vidogo visivyoweza kucheza ACL kwa mafanikio
 
Yanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli wewe ni mbumbumbu
 
kwani mmesikia zamalek wana kituo cha kulelea wazee??? msiwapandikizie zamalek kes za ajab ajab maana hat huyo mzee wen kagere hawamjui.
alaf huyo mzee wen kagere hana mahal pa kwend maan hamna tim inataka wazee na tayar mmesha muongezea mkatab wa miak 2.
Kinakuuma nini hao serengeti wamewapa nini, football is result oriented
 
HUU ushabiki maandazi tuuache tuangalie future ya mpira wetu.Simba huwa ni Mbumbumbu lakin nadhani wewe umezidi viwango.
Suala la wachezaji ni very complecated kuliko unavyozani.Hakuna kiwango kama hicho simba wanapata ama wana hela yoyote ya kufanya hayo.siku ukiacha umbumbu na kuanza kufuatilia uhalisia basi utaelewa
Kama Huna huna tu, waache wenye nazo watumie.
 
Yanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
1130341
 
Back
Top Bottom