Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Huyo Kagere ana miaka 39 atauzwaje kwa hela hiyo?Yanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]