Hii ya kubadilisha KM za gari hivi ni kweli ipo? Kuna gari namba BAC ina KM 38900 TOYOTA KLUGER jamaa anaiuza


Kweli mkuu barabara za nchi za wenzetu ni rafiki ,halafu sheria zao zinawabana sana kufanya service hivyo hata ikiwa na km hata laki 2 bado inaonekana bado "Mma" aka Mbichi...We angalia coaster hizi zinazokuja huku nyingi zina km laki 2 na ushee.
 
Km halisi hua zipo kwenye document za importation haswa kwenye invoice na tbs certificate ya inspection
 
Ina cc ngp Mkuu hyo Kluger? Naitaj kununua hyo gari mkuu, ila yenye 7 seat, .
 
Km halisi hua zipo kwenye document za importation haswa kwenye invoice na tbs certificate ya inspection
Zote hizi zinaeditiwa
KWA na huu mfumo wa kufanya inspection bongo ndiyo imekuwa balaa kabisa.
 
Zote hizi zinaeditiwa
KWA na huu mfumo wa kufanya inspection bongo ndiyo imekuwa balaa kabisa.
Mkuu hauwezi kuedit hizo docs niamini sema tu hio gari BAC ilikuja kabla ya TANCIS maana hio gari imeingia around may 2009 ningekuangalizia vizuri OG KM zake mimi kuna gari namba ni BAC ilikuja na KM 55,000 lakini sasa hivi inasoma 187,000+ ilishakaaga mwaka 1 na miezi nane juu ya mawe...sio rahisi ku edit document zote hizo wanachokifanya wanaouza magari hawakupi invoice na document ya tbs ile inayogongwa muhuri bandarini
 
Upelelezi wote huo unanunua Ndege?
 
Kufanya haya yote ni bora usinunue hiyo gari.

Umekuwa CIA?
 
Unaulizia oDO meter kuchezewa watu wanafunga mota kubwa siku mbili inaunguluma km 50,000 hizi hapa...
Hiyo mzee hata mota ya feni kwa Gari ndogo unazungusha km vizuri Sana....
Gari bwana, Muite fundi, Awe wako na huyo fundi muwe mnaelewana Sana
, Atasikiliza Mlio wa Gari, atakagua ndani ya Bonet ataingia uvunguni kukagua na vitu vingine then atakupa mrejesho..
Kuna Gari zingine unakuta in good condition Ila kifaa kimoja kimekufa na matengenezo yake Ni 1m +..
Kuna Gari tulikuwa tunaiuza Ni brevis namba C ya mwisho mwisho na haikuwa ya Safari ilikuwa kwa week inawez tembea km zisizo zidi 50... Ila Ila kufa kifaa flani kwenye Sterling kifaa plus matengezo Ni 1.5Ml Sasa mtu ukija kichwa kichwa anachezea za uso.... Bora ujitutumue ukanunue mpya showroom...
 
 

Baba nenda sbt, beforward na wengne kibao wapo hapa bongo
 
Hapa naona hatununui gari tena tunafanya kazi za wazee wa kaunda suti[emoji16][emoji16][emoji16]

Hii nchi ngumu sana[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…