Hii ya kufungia mwaka inaitwa “Mwana Ukome”

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Genz wamemchangia Mhe. Tundu Lissu 20M mpaka sasa, Genz wanamwaga Moto.

Hawa vijana hawana show za kindezi.. Na ujumbe wanaopeleka una mwangwi mkubwa Sana😂😂😂

Happy new year Tundu lissu the Greatest.. Happy new year Gen Z the unstoppable 💪🏿💗☄⚡
 
Changieni watoto maskini ada za shule januari inafika, muda mwingine tuwe wakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…