Hii ya kufungia mwaka inaitwa “Mwana Ukome”

Nimejaribu kumchangia Mheshimiwa Tundu Lissu imeshindikana inanirudishia huu ujumbe wasilianeni na Vodacom kuna namna wanaweza saidia
View attachment 3523264
Wanadai imefika kikomo cha kupokea pesa kwa siku. Kwa siku imewekwa kupokea 10M. Ikifika kiwango hiko pesa nyingine haiwezi kuingia
 
mshana nawe umeingia kwenye list ya watu wa hovyo lini kaka?
Kwanini unaamua kudanganya with bold red letters? Kwa faida ya nani sasa!? Hata hili nalo mnatukejeli? Unadhani Mungu anapenda? With due respect naenda kufuta reply yangu.. Lakini mkumbuke Mungu yupo na anaona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…