Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Hii ya Leo Kali, yaani AFANDE Mafwele amempa dhamana Advocate Madeleka na kuaidi kumpeleka nyumbani kwake Leo kabla ya saa sita usiku, hii ni kweli, 😅 siamini ILA Kuna msemo usemao shetani akizeeka uwa anakuwa Malaika.
Naomba kuwajuza tu, Madeleka yupo salama salimini mikononi mwa Mafwele sjui nani,hivi like tangazo ambalo lilikuwa linawaaka walevi wakilewa na KUPOTEa NJIA wanaruhisiwa kwenda kituo cha polisi kuuliza NJIA na watapelekwa mpaka nyumbani kwao 😂 hii iliwai tokea Tanzania