Umepotea njia then umeijuaje njia ya kufika polisi..?Hii ya Leo Kali, yaani AFANDE Mafwele amempa dhamana Advocate Madeleka na kuaidi kumpeleka nyumbani kwake Leo kabla ya saa sita usiku, hii ni kweli, 😅 siamini ILA Kuna msemo usemao shetani akizeeka uwa anakuwa Malaika.
Naomba kuwajuza tu, Madeleka yupo salama salimini mikononi mwa Mafwele sjui nani,hivi like tangazo ambalo lilikuwa linawaaka walevi wakilewa na KUPOTEa NJIA wanaruhisiwa kwenda kituo cha polisi kuuliza NJIA na watapelekwa mpaka nyumbani kwao 😂 hii iliwai tokea Tanzania
Ipo hiyo , Nilipewa lift na defender usiku wa manane toka kawe hadi kigogo bila bugudha hawakuomba hata sh 10.Hii ya Leo Kali, yaani AFANDE Mafwele amempa dhamana Advocate Madeleka na kuaidi kumpeleka nyumbani kwake Leo kabla ya saa sita usiku, hii ni kweli, 😅 siamini ILA Kuna msemo usemao shetani akizeeka uwa anakuwa Malaika.
Naomba kuwajuza tu, Madeleka yupo salama salimini mikononi mwa Mafwele sjui nani,hivi like tangazo ambalo lilikuwa linawaaka walevi wakilewa na KUPOTEa NJIA wanaruhisiwa kwenda kituo cha polisi kuuliza NJIA na watapelekwa mpaka nyumbani kwao 😂 hii iliwai tokea Tanzania
Huyo ni njagu mtiifu kabisa huyo..Madeleka aliondoka Polisi akiwa na Nyota 2 Inspector wa Police
CHADEMA wanatakiwa wajihadhari sana na hawa mamluki. Last time walimpokea Joseph Selasini leo, kesho akatoa tamko la kupingana na uongozi wa chama! Hii ni hatari kwa mustakabari wa chama.Madeleka anatafuta kukubalika arudi chadema kuibomoa huyu kipindi cha No reforms no Election ndo alionekana sura yake amemponda Lissu sana Huyu chadema kazi kwenu
Kumbe katega mtego wa kuwapoteza Maboya? Na CHADEMA wakatoa mpaka press release kuwa aachiwe soon anaenda kupewa Card ya Chama😂😂😂Madeleka anatafuta kukubalika arudi chadema kuibomoa huyu kipindi cha No reforms no Election ndo alionekana sura yake amemponda Lissu sana Huyu chadema kazi kwenu
Mafwele ni TISS, Madeleka ni TISS kuna shida gani hapo?Hii ya Leo Kali, yaani AFANDE Mafwele amempa dhamana Advocate Madeleka na kuaidi kumpeleka nyumbani kwake Leo kabla ya saa sita usiku, hii ni kweli, 😅 siamini ILA Kuna msemo usemao shetani akizeeka uwa anakuwa Malaika.
Naomba kuwajuza tu, Madeleka yupo salama salimini mikononi mwa Mafwele sjui nani,hivi like tangazo ambalo lilikuwa linawaaka walevi wakilewa na KUPOTEa NJIA wanaruhisiwa kwenda kituo cha polisi kuuliza NJIA na watapelekwa mpaka nyumbani kwao 😂 hii iliwai tokea Tanzania
Baadae wanataka wamteke hao polisi siyo watu wazuri , ningepewa maamlaka katika idara ambayo ningewafuta kazi na kuwafungulia jadala la mauaji ya oktoba 29 ni polisi na wanaojiita jeshi la wananchi wakati ni jeshi la ccm .Hii ya Leo Kali, yaani AFANDE Mafwele amempa dhamana Advocate Madeleka na kuaidi kumpeleka nyumbani kwake Leo kabla ya saa sita usiku, hii ni kweli, 😅 siamini ILA Kuna msemo usemao shetani akizeeka uwa anakuwa Malaika.
Naomba kuwajuza tu, Madeleka yupo salama salimini mikononi mwa Mafwele sjui nani,hivi like tangazo ambalo lilikuwa linawaaka walevi wakilewa na KUPOTEa NJIA wanaruhisiwa kwenda kituo cha polisi kuuliza NJIA na watapelekwa mpaka nyumbani kwao 😂 hii iliwai tokea Tanzania
Umefikiria nje ya boksiMadeleka anatafuta kukubalika arudi chadema kuibomoa huyu kipindi cha No reforms no Election ndo alionekana sura yake amemponda Lissu sana Huyu chadema kazi kwenu