Ila unawekwa Lockup na wahalifu wengineTukumbuke pia ni haki ya kikatiba kwa kila raia kupata hifadhi kwenye kituo cha polisi endapo umepotea au ni usiku sana na huna pa kwenda.
una stress gani?Madeleka ni pot,tambua hilo
Madeleka ni informar jua hilo
Madeleka ni CCM,fahamu hilo
Madeleka aache kazi ya upolisi?
Madeleka?awe advocate?atetee nini.
CCM Wana maigizo sana
Hao jamaa ni depo moja aka wadepoHii ya Leo Kali, yaani AFANDE Mafwele amempa dhamana Advocate Madeleka na kuaidi kumpeleka nyumbani kwake Leo kabla ya saa sita usiku, hii ni kweli, π siamini ILA Kuna msemo usemao shetani akizeeka uwa anakuwa Malaika.
Naomba kuwajuza tu, Madeleka yupo salama salimini mikononi mwa Mafwele sjui nani,hivi like tangazo ambalo lilikuwa linawaaka walevi wakilewa na KUPOTEa NJIA wanaruhisiwa kwenda kituo cha polisi kuuliza NJIA na watapelekwa mpaka nyumbani kwao π hii iliwai tokea Tanzania
Yani Wabongo tumepigwa mpaka mtu kuoewa dhamana, haki yake ya kikatiba, tunaona ajabu?Hii ya Leo Kali, yaani AFANDE Mafwele amempa dhamana Advocate Madeleka na kuaidi kumpeleka nyumbani kwake Leo kabla ya saa sita usiku, hii ni kweli, π siamini ILA Kuna msemo usemao shetani akizeeka uwa anakuwa Malaika.
Naomba kuwajuza tu, Madeleka yupo salama salimini mikononi mwa Mafwele sjui nani,hivi like tangazo ambalo lilikuwa linawaaka walevi wakilewa na KUPOTEa NJIA wanaruhisiwa kwenda kituo cha polisi kuuliza NJIA na watapelekwa mpaka nyumbani kwao π hii iliwai tokea Tanzania
Ww ulisha wahi kwenda kupata hifadhi polisi hebu kua siliaziTukumbuke pia ni haki ya kikatiba kwa kila raia kupata hifadhi kwenye kituo cha polisi endapo umepotea au ni usiku sana na huna pa kwenda.
Muoneni huyuuna stress gani?
wanaqweza kumteka ujueHii ya Leo Kali, yaani AFANDE Mafwele amempa dhamana Advocate Madeleka na kuaidi kumpeleka nyumbani kwake Leo kabla ya saa sita usiku, hii ni kweli, π siamini ILA Kuna msemo usemao shetani akizeeka uwa anakuwa Malaika.
Naomba kuwajuza tu, Madeleka yupo salama salimini mikononi mwa Mafwele sjui nani,hivi like tangazo ambalo lilikuwa linawaaka walevi wakilewa na KUPOTEa NJIA wanaruhisiwa kwenda kituo cha polisi kuuliza NJIA na watapelekwa mpaka nyumbani kwao π hii iliwai tokea Tanzania
Umelewa?Hii ya Leo Kali, yaani AFANDE Mafwele amempa dhamana Advocate Madeleka na kuaidi kumpeleka nyumbani kwake Leo kabla ya saa sita usiku, hii ni kweli, π siamini ILA Kuna msemo usemao shetani akizeeka uwa anakuwa Malaika.
Naomba kuwajuza tu, Madeleka yupo salama salimini mikononi mwa Mafwele sjui nani,hivi like tangazo ambalo lilikuwa linawaaka walevi wakilewa na KUPOTEa NJIA wanaruhisiwa kwenda kituo cha polisi kuuliza NJIA na watapelekwa mpaka nyumbani kwao π hii iliwai tokea Tanzania
Inaonyesha wazi kuwa sasa hata njia za kudanganyia watu zimekuwa ngumu sana. Ubunifu umepotea.Madeleka ni pot,tambua hilo
Madeleka ni informar jua hilo
Madeleka ni CCM,fahamu hilo
Madeleka aache kazi ya upolisi?
Madeleka?awe advocate?atetee nini.
CCM Wana maigizo sana