Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Elimu yako tafadhali? VAT inakatwa kwa asilimia. Ni 18% ya gharama uliyotumia. Hivyo basi haijalishi una risiti ngapi, ziwe mbili, moja au tatu..mwisho wa siku kiasi utakacholipa ni kilekile
Basi pengine hujajieleza vizuri. Maana hoja yako ya msingi iko kwenye idadi ya risiti. Hebu fafanua ili tuweze kuelewa nini hasa kilitokea.Std7!hapana hujaelewa aisee mkuu...haiko sawa!na ilibidi tuulize..wakarekebisha
Basi pengine hujajieleza vizuri. Maana hoja yako ya msingi iko kwenye idadi ya risiti. Hebu fafanua ili tuweze kuelewa nini hasa kilitokea.
Hizo bill ziliandikwa na mkono au mashine. Kama ni mashine basi Jumla ya VAT itakuwa ni ile ile bila kujali idadi ya risiti.
Chukua mfano huu nimekula chakula cha 3000 na juice ya 2000, jumla 5000. Nikiandikiwa risiti moja itakuwa 5000 + VAT = 5000+900 = 5900. Nitalipa 5900.
Nikiandikiwa risiti mbili:
1. Chakula 3000+540 = 3,540.
2. Kinywaji 2000+360 = 2,360
Ukijumlisha risiti zote mbili 5,900. Mzee baba unakwama wapi?
wewe ni mwehu[emoji28][emoji28]!...wenyewe waliona kun kosa..au la hujaelewa!asante pia
Wewe umeomba wataalamu tukueleweshe. Ni vyema ukajieleza vizuri. Kosa lilikuwa wapi? Na ulitakiwa ulipe shs ngapi kabla ya kurekebushwa? Na baada ya kurekebishwa ukalipa shs ngapi?😅😅!...wenyewe waliona kun kosa..au la hujaelewa!asante pia
Kabisa mkuuwewe ni mwehu
Wewe umeomba wataalamu tukueleweshe. Ni vyema ukajieleza vizuri. Kosa lilikuwa wapi? Na ulitakiwa ulipe shs ngapi kabla ya kurekebushwa? Na baada ya kurekebishwa ukalipa shs ngapi?
Ukurupukaji hajui kuwa ukijumlisha zote ni sawa na kukata kwa ujumla. Ujuaji mwingi nakuelezaga manengeloElimu yako tafadhali? VAT inakatwa kwa asilimia. Ni 18% ya gharama uliyotumia. Hivyo basi haijalishi una risiti ngapi, ziwe mbili, moja au tatu..mwisho wa siku kiasi utakacholipa ni kilekile
Inategemea mtu aliyekuandikia risiti hawezi kuzitofautisha kwa kila items katika risiti moja ila akaamua kutoa kila item na risiti yake ,mwisho wa siku ukijumulisha total amount inakuja sawa na uliyotoa mkuu.Hello.
Jamani nimeenda sehemu fulani kupata chakula na vinywaji, lakini bill ilivyokuja nikashangaa kila kitu kimekuja kwa receipt yake na kila kinywaji kina VAT yake!
Mfano: Soda 4 zimekuja receipt mbili za soda mbili mbili. Chakula kimejua na receipt yake na VAT yake!
Swali je ni sawa? Kwanini kama bill ni 1000/= kwanini isingekata hiyo VAT yao kwenye hiyo 1000/=? Means nimeletewa receipt 6 kila receipt ina VAT yake!
Naomba wataalamu wanieleweshe hapa kama ni sawa au kuna upigaji umetokea!
Hasira za Sumaye nizimalizie hapa hapa leo hotelini!
No haina upigaji coz jumla ya hizo VAT ni sawa na ambayo wangeicompile ,ila huenda uliagiza soda 2 kwanza so wakawa wameshatoa receipt ya soda ,then Chakula baadaye pia wakaitoa, so wamekuletea receipt 2 za wakati tofauti tofauti,
kama ni Kwa wakati mmoja inabidi wajifunze kufanya paper saving,maana hivo vikaratasi vinauzwa(fiscal paper rolls) hakukua na ulazima Wa kutoa receipts zote hizoo
Natamani kujua walikoseaje...manake hata watoe risiti idadi watakayo, kiwango cha VAT kitabaki kuwa kile kile. Labda mtoa risiti aliona amekosea kutoa risiti tatu za soda hivyo akarekebisha kwa kutoa moja...😅😅!...wenyewe waliona kun kosa..au la hujaelewa!asante pia
Natamani kujua walikoseaje...manake hata watoe risiti idadi watakayo, kiwango cha VAT kitabaki kuwa kile kile. Labda mtoa risiti aliona amekosea kutoa risiti tatu za soda hivyo akarekebisha kwa kutoa moja...