Hii ya mchele wa Mbeya ni kali

Hii ya mchele wa Mbeya ni kali

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
inabidi niende Mbeya kujiridhisha na hili.

29432191_1585073004874989_1570756198636028072_n.jpg
 
Siku hizi mchele mzuri unapatikana Kamsamba bonde la mpunga mchele wa Kyela umefulia sababu ya matumizi ya mbolea,kitu Kamsamba hakina hakitumii mbolea wali wake hata ukila bila mboga unashuka...hayo ya maringo sina maoni
Bado ni brand kubwa mchele wakyela, mbolea inatumika kote hata huko kamsamba.... Sema kiasi cha matumizi ndio hutofautiana..... Hata pale kyela kuna mbuga ambazo hazionji mbolea na hizo ndo hutoa mpunga mzuri, na kuna mbuga lazima utumie mbolea lama tenende, na ibungu, lkn the rest kama ngonga, ikola, bujonde na bagamoyo hadi ipinda huko hakuna mbolea sana, wenyewe mbolea yao ni mafuriko tu, yakizoa taka na vinyesi frsh na huo ndo mchele ulioiletea kyela heshima na upo mpaka leo
 
Ni sehemu ndogo Sana ya Kyela ambayo haitumii mbolea hasahasa Ipinda barabara ya Matema kule,but ukweli mchele wa Kyela kwa sasa unauzia uzoefu,mchele wa Kamsamba hata tone yake Tu itakuambia hiki ni kitu organic,fika mbalizi au uyole mashine za mpunga utaona tofauti hii,hata Mbeya mjini penyewe nowadays raia wanauamini mchele wa Kamsamba,wa Kyela unauza huku mijini kv Dar nk
 
Na pale Kyela katika mashine wanachanganya mchele wa Kyela kidogo na wa Usangu. Unashangaa mchele una mawe, ukipikwa bila kupembua ni shida.
 
Hapana, ukifika shambani kwa mzee Manjoli anakwambia mchele safi unatokea kona ileeee ya upande wa kushoto [emoji23]
Hahah!! Aisee natamani sana kujua mwisho wa huu mchele mana ukifika huo upande wa kushoto sijui utakutana na jibu gani tu [emoji16][emoji16]
 
Mchele wa Kyela mzuri sana. nakumbuka zamani baba yetu alienda Kyela akaja nao! aiseee yaani ilikuwa mama akipika hadi mitaa ya mbali kabisa wanasikia harufu. Ila sasa isije ikawa hizi mbolea zimeharibu ardhi ya asili na huo mchele haupo tena.
 
Hahah!! Aisee natamani sana kujua mwisho wa huu mchele mana ukifika huo upande wa kushoto sijui utakutana na jibu gani tu [emoji16][emoji16]
Ukifika kwenye hiyo kona utaambiwa, kwenye hii kona ya kushoto mchele mzuri zaidi unatoka upande wa kusini [emoji12]
 
Mchele wa Kyela mzuri sana. nakumbuka zamani baba yetu alienda Kyela akaja nao! aiseee yaani ilikuwa mama akipika hadi mitaa ya mbali kabisa wanasikia harufu. Ila sasa isije ikawa hizi mbolea zimeharibu ardhi ya asili na huo mchele haupo tena.
Ndugu yangu hiyo ilikuwa zamani, sasa hivi hata huko Kyela kwenyewe kwa mzee Manjoli hakuna mchele wa kunukia tena
 
Ukifika kwenye hiyo kona utaambiwa, kwenye hii kona ya kushoto mchele mzuri zaidi unatoka upande wa kusini [emoji12]
[emoji23][emoji23] aya basi sitaki tena kujua huu muendelezo maana huu mchele umekua kama tamthilia ya Isidingo sasa
 
Back
Top Bottom