Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
inabidi niende Mbeya kujiridhisha na hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka habari yakoukali wake upo wapi??
Bado ni brand kubwa mchele wakyela, mbolea inatumika kote hata huko kamsamba.... Sema kiasi cha matumizi ndio hutofautiana..... Hata pale kyela kuna mbuga ambazo hazionji mbolea na hizo ndo hutoa mpunga mzuri, na kuna mbuga lazima utumie mbolea lama tenende, na ibungu, lkn the rest kama ngonga, ikola, bujonde na bagamoyo hadi ipinda huko hakuna mbolea sana, wenyewe mbolea yao ni mafuriko tu, yakizoa taka na vinyesi frsh na huo ndo mchele ulioiletea kyela heshima na upo mpaka leoSiku hizi mchele mzuri unapatikana Kamsamba bonde la mpunga mchele wa Kyela umefulia sababu ya matumizi ya mbolea,kitu Kamsamba hakina hakitumii mbolea wali wake hata ukila bila mboga unashuka...hayo ya maringo sina maoni
Ni sehemu ndogo Sana ya Kyela ambayo haitumii mbolea hasahasa Ipinda barabara ya Matema kule,but ukweli mchele wa Kyela kwa sasa unauzia uzoefu,mchele wa Kamsamba hata tone yake Tu itakuambia hiki ni kitu organic,fika mbalizi au uyole mashine za mpunga utaona tofauti hii,hata Mbeya mjini penyewe nowadays raia wanauamini mchele wa Kamsamba,wa Kyela unauza huku mijini kv Dar nkBado ni brand kubwa mchele wakyela, mbolea inatumika kote hata huko kamsamba.... Sema kiasi cha matumizi ndio hutofautiana..... Hata pale kyela kuna mbuga ambazo hazionji mbolea na hizo ndo hutoa mpunga mzuri, na kuna mbuga lazima utumie mbolea lama tenende, na ibungu, lkn the rest kama ngonga, ikola, bujonde na bagamoyo hadi ipinda huko hakuna mbolea sana, wenyewe mbolea yao ni mafuriko tu, yakizoa taka na vinyesi frsh na huo ndo mchele ulioiletea kyela heshima na upo mpaka leo
Hapana, ukifika shambani kwa mzee Manjoli anakwambia mchele safi unatokea kona ileeee ya upande wa kushoto [emoji23]Ukifika shambani kwa mzee Manjoli habari utazopewa utajikuta unafika hadi Malawi
Hahah!! Aisee natamani sana kujua mwisho wa huu mchele mana ukifika huo upande wa kushoto sijui utakutana na jibu gani tu [emoji16][emoji16]Hapana, ukifika shambani kwa mzee Manjoli anakwambia mchele safi unatokea kona ileeee ya upande wa kushoto [emoji23]
Ukifika kwenye hiyo kona utaambiwa, kwenye hii kona ya kushoto mchele mzuri zaidi unatoka upande wa kusini [emoji12]Hahah!! Aisee natamani sana kujua mwisho wa huu mchele mana ukifika huo upande wa kushoto sijui utakutana na jibu gani tu [emoji16][emoji16]
Ndugu yangu hiyo ilikuwa zamani, sasa hivi hata huko Kyela kwenyewe kwa mzee Manjoli hakuna mchele wa kunukia tenaMchele wa Kyela mzuri sana. nakumbuka zamani baba yetu alienda Kyela akaja nao! aiseee yaani ilikuwa mama akipika hadi mitaa ya mbali kabisa wanasikia harufu. Ila sasa isije ikawa hizi mbolea zimeharibu ardhi ya asili na huo mchele haupo tena.
Du!Ndugu yangu hiyo ilikuwa zamani, sasa hivi hata huko Kyela kwenyewe kwa mzee Manjoli hakuna mchele wa kunukia tena
[emoji23][emoji23] aya basi sitaki tena kujua huu muendelezo maana huu mchele umekua kama tamthilia ya Isidingo sasaUkifika kwenye hiyo kona utaambiwa, kwenye hii kona ya kushoto mchele mzuri zaidi unatoka upande wa kusini [emoji12]
Utaambiwa hii mbegu tunachukua Kalonga Malawi[emoji3]Hahah!! Aisee natamani sana kujua mwisho wa huu mchele mana ukifika huo upande wa kushoto sijui utakutana na jibu gani tu [emoji16][emoji16]
Hii kitu sio ya kufatilia mkuu mana utajikuta umefika Syria [emoji38] [emoji38]Utaambiwa hii mbegu tunachukua Kalonga Malawi[emoji3]