N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
HahahaaHii kitu sio ya kufatilia mkuu mana utajikuta umefika Syria [emoji38] [emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaHii kitu sio ya kufatilia mkuu mana utajikuta umefika Syria [emoji38] [emoji38]
Hii ya kula bila mboga hapana kwakwel,Siku hizi mchele mzuri unapatikana Kamsamba bonde la mpunga mchele wa Kyela umefulia sababu ya matumizi ya mbolea,kitu Kamsamba hakina hakitumii mbolea wali wake hata ukila bila mboga unashuka...hayo ya maringo sina maoni
Kitu unashushia na chai ya lukama,saafiiHii ya kula bila mboga hapana kwakwel,
Kikubwa wewe ukiona mchele unaokuvutia nunua ukapike ule, habari za umetoka wapi hazisaidii kitu maana unaweza kuta hata huko Kyela kwenyewe wanakula mchele wa Morogoro[emoji23][emoji23] aya basi sitaki tena kujua huu muendelezo maana huu mchele umekua kama tamthilia ya Isidingo sasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nikweli aisee haya mambo ya tafiti tuwaachie TWAWEZA na UNKikubwa wewe ukiona mchele unaokuvutia nunua ukapike ule, habari za umetoka wapi hazisaidii kitu maana unaweza kuta hata huko Kyela kwenyewe wanakula mchele wa Morogoro
Huku Malawi tunalima tumbaku sio mcheleUkifika shambani kwa mzee Manjoli habari utazopewa utajikuta unafika hadi Malawi
Siku hizi kyela hawalimi mpunga wa kuuza nje ya wilaya yao maana kwa sasa kamsamba ndio mchele tunao utumia kwa sasa ukifutiwa na bonde la usanguNi sehemu ndogo Sana ya Kyela ambayo haitumii mbolea hasahasa Ipinda barabara ya Matema kule,but ukweli mchele wa Kyela kwa sasa unauzia uzoefu,mchele wa Kamsamba hata tone yake Tu itakuambia hiki ni kitu organic,fika mbalizi au uyole mashine za mpunga utaona tofauti hii,hata Mbeya mjini penyewe nowadays raia wanauamini mchele wa Kamsamba,wa Kyela unauza huku mijini kv Dar nk
Aah mkuu upo Malawi?Huku Malawi tunalima tumbaku sio machele
Lukama? Au lupyuKitu unashushia na chai ya lukama,saafii
Ndio hapa ni jirani tu na kwetu dakika mbili Tanzania dakika mbili Malawi hata mahitaji tunashirikiana na wamalawiAah mkuu upo Malawi?
Mzee Ileje ndo mnaita lupyuLukama? Au lupyu
Lupyu ni maziwa freshMzee Ileje ndo mnaita lupyu
Hahahaha Jolie mchokozi sana hiyo salaam sio ya heriKaka habari yako
Nakusoma sana mkuuNdio hapa ni jirani tu na kwetu dakika mbili Tanzania dakika mbili Malawi hata mahitaji tunashirikiana na wamalawi
Umejuaje sio ya kweli?Hahahaha Jolie mchokozi sana hiyo salaam sio ya heri
Khaaaa we ndio Jolie jamanUmejuaje sio ya kweli?