Hii ya mchele wa Mbeya ni kali

Hii ya mchele wa Mbeya ni kali

Siku hizi mchele mzuri unapatikana Kamsamba bonde la mpunga mchele wa Kyela umefulia sababu ya matumizi ya mbolea,kitu Kamsamba hakina hakitumii mbolea wali wake hata ukila bila mboga unashuka...hayo ya maringo sina maoni
Hii ya kula bila mboga hapana kwakwel,
 
[emoji23][emoji23] aya basi sitaki tena kujua huu muendelezo maana huu mchele umekua kama tamthilia ya Isidingo sasa
Kikubwa wewe ukiona mchele unaokuvutia nunua ukapike ule, habari za umetoka wapi hazisaidii kitu maana unaweza kuta hata huko Kyela kwenyewe wanakula mchele wa Morogoro
 
Ni sehemu ndogo Sana ya Kyela ambayo haitumii mbolea hasahasa Ipinda barabara ya Matema kule,but ukweli mchele wa Kyela kwa sasa unauzia uzoefu,mchele wa Kamsamba hata tone yake Tu itakuambia hiki ni kitu organic,fika mbalizi au uyole mashine za mpunga utaona tofauti hii,hata Mbeya mjini penyewe nowadays raia wanauamini mchele wa Kamsamba,wa Kyela unauza huku mijini kv Dar nk
Siku hizi kyela hawalimi mpunga wa kuuza nje ya wilaya yao maana kwa sasa kamsamba ndio mchele tunao utumia kwa sasa ukifutiwa na bonde la usangu
 
Back
Top Bottom