Hii ya mchele wa Mbeya ni kali

Siku hizi mchele mzuri unapatikana Kamsamba bonde la mpunga mchele wa Kyela umefulia sababu ya matumizi ya mbolea,kitu Kamsamba hakina hakitumii mbolea wali wake hata ukila bila mboga unashuka...hayo ya maringo sina maoni
Hii ya kula bila mboga hapana kwakwel,
 
[emoji23][emoji23] aya basi sitaki tena kujua huu muendelezo maana huu mchele umekua kama tamthilia ya Isidingo sasa
Kikubwa wewe ukiona mchele unaokuvutia nunua ukapike ule, habari za umetoka wapi hazisaidii kitu maana unaweza kuta hata huko Kyela kwenyewe wanakula mchele wa Morogoro
 
Siku hizi kyela hawalimi mpunga wa kuuza nje ya wilaya yao maana kwa sasa kamsamba ndio mchele tunao utumia kwa sasa ukifutiwa na bonde la usangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…