green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Wachawi wamezidi Tanzania ngoja tuanze kuwa uwa na mapanga kama zamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walisema alikufa kwa upungufu wa damJe, aliugua kabla ya ''kufariki''. Na kama aliugua, alitibiwa wapi? Rekodi zake zipo? Kuna cheti cha kifo? Kuna picha za mazishi? Mazishi yalihudhuriwa na watu gani na wanaweza kutoa ushahidi pasipo shaka? Possibly hii ni janja ya watu fulani kutengeneza mazingira.....