Hii ya Mtoto kufa baadae kuonekana hai tuiitaje

Wachawi wamezidi Tanzania ngoja tuanze kuwa uwa na mapanga kama zamani
 
Walisema alikufa kwa upungufu wa dam
 
Ifikie kipindi waiweke wazi hii teknolojia tuione sasa kwa manufaa ya taifa kuna wengine hatujawahi panda air Tanzania

Ila ukiletwa ungo tutafarijika zaidi maana pia sisi tutapaa angani
 
Uchawi ni hali ya mtu kutumia marina yako ya kisayansi. Maarifa haye zaidi 90% huleta madhara.mfano unampa ushauri wakati huna juzi sayansi anapata madhara ndio. Uchawi. Uchawi ni kukosa maarifa kisayansi. Haya mengi anaruka na ungo,misukule,majini, human ni uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…