johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG)
Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho.
Maendeleo hayana vyama!
Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho.
Maendeleo hayana vyama!