Hii ya Mwanasheria mkuu (AG) kushtakiwa kwa makosa yaliyotendwa na Rais kama taasisi au mtu binafsi akiwa madarakani nimeikubali

Hii ya Mwanasheria mkuu (AG) kushtakiwa kwa makosa yaliyotendwa na Rais kama taasisi au mtu binafsi akiwa madarakani nimeikubali

Braza najua una akili.. na najua huu ni upumbav . Ila sababu ni ajira yako huna namna. Lazima utetee.
Anyway.. back to the topic.
Ni kuwa Hapo AG anaangushiwa zigo.. na ndio mwanya wa rais kufanya atakalo. Si anajua AG ndio mbeba gunia la misumari.
Hii sheria inaenda kuondoa uwajibikaji kwa viongozi wa juu.
Wanasheria na watu "rational" wamepinga marekebesho haya ila bunge likayapitisha. Kilichobaki ni kuyapinga mahakama za juu. Huko ndiko haki itatendeka.
 
Na kama AG hataki kubebeshwa hilo gunia kwanini asijiuzulu?

Ni rahisi kumshtaki AG kuliko Rais mstaafu kama ilivyo sasa!
Anaweza. Lakin ajue risk ya kaiz yake. Rais akiboronga gunia la.misumari lina.muhusu.
Ila kwann rais asibebe madudu yake anapoboronga. Kwann abebeshwe mwingine?
 
Jana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG)

Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi mwanasheria mkuu anaweza mkataza Magu asifanye jambo, Magu alilokusudia kufanya? Hapa kazi AG anayo. Labda waseme sio AG binafsi atashitakiwa, bali ofisi yake.
 
Back
Top Bottom