johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Trump anakimbiwa huko aliko amebaki peke yake!Sometimes tunamlaumu tu trump bure ila ni kweli nchi zetu ni shithole kantrizi.
Taifa la wajinga na mang'ombeJana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG)
Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho.
Maendeleo hayana vyama!
Jana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG)
Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho.
Maendeleo hayana vyama!
Yohana mbatizaji.Jana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG)
Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho.
Maendeleo hayana vyama!
AG ndio mshsuri mkuu wa Rais...... Anawajibika kuhakikisha Rais hafanyi makosa!Yohana mbatizaji.
Huu ushabiki wenu wa bila kufikiri lazima siku moja kama nchi tujute wote. Isidanganyike na ukada
Wewe unayejua nikosoe kwa hoja!Unaanzisha thread huku ukikiri kuwa hujui lakini unapiga vigelegele,hopeless
Wakati anaamrisha AG anakuwa wapi?!Wewe ni mbumbumbu! Yaani Rais aamrishe kama ilivyo sasa hivi kwenye ile nchi ya asali na maziwa kuwa watu watekwe, wateswe, wauawe etc halafu aje kushtakiwa mtu mwingine?!
Braza najua una akili.. na najua huu ni upumbav . Ila sababu ni ajira yako huna namna. Lazima utetee.Jana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG)
Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho.
Maendeleo hayana vyama!
AG ni kiongozi muhimu sana na ndio maana anaingia katika mihimili yote mitatu!Viongozi wa nchi ndio wanaotakiwa kuwa mfano kwa wananchi wanaowaongoza. Iwapo wao wanataka wasiwajibishwe kwa kuvunja sheria zilizowekwa na bunge, watapata wapi uhalali wa kuwaadhibu wananchi watakapovunja sheria hizo hizo? It does not make sense at all. It is pure selfishness. It is only criminals who will seek such protection.
Wewe unayejua nikosoe kwa hoja!
Kama jinsi magu alivyo jifungia chato wakati wa korona.Trump anakimbiwa huko aliko amebaki peke yake!
Akiamrisha, AG ana uwezo wa kikatiba wa kumzuia Rais kutekeleza jambo analotaka?Wakati anaamrisha AG anakuwa wapi?!
Na kama AG hataki kubebeshwa hilo gunia kwanini asijiuzulu?Braza najua una akili.. na najua huu ni upumbav . Ila sababu ni ajira yako huna namna. Lazima utetee.
Anyway.. back to the topic.
Ni kuwa Hapo AG anaangushiwa zigo.. na ndio mwanya wa rais kufanya atakalo. Si anajua AG ndio mbeba gunia la misumari.
Hii sheria inaenda kuondoa uwajibikaji kwa viongozi wa juu.
MonkeyJana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG)
Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho.
Maendeleo hayana vyama!