Braza najua una akili.. na najua huu ni upumbav . Ila sababu ni ajira yako huna namna. Lazima utetee.
Anyway.. back to the topic.
Ni kuwa Hapo AG anaangushiwa zigo.. na ndio mwanya wa rais kufanya atakalo. Si anajua AG ndio mbeba gunia la misumari.
Hii sheria inaenda kuondoa uwajibikaji kwa viongozi wa juu.