Hii ya tezi dume Imenishtua kidogo

Hii ya tezi dume Imenishtua kidogo

Mnaogopa nini kila mwanaume akachekiwe mapema kuepuka madhara makubwa baadae .Kwa wale wenye watoto hakuna maana huzai tena ngoma nzito kwa vijana watoto wao bado wapo kiunoni .Pia msisahau kuna uzazi wa mpango kwa wanaume mkumbuke pia hilo .Wanawake tumechoka na masindano 'njiti pia vidonge tunashukuru mtu aliyegundua hizo tiba za uzazi kwa wanaume .mungu ambariki sana.
 
Kwa mujibu wa Daktari bingwa wa Saratani Mama Dominiki Kombe anadai matibabu ya saratani ya tezi dume yanapunguza au kuua kabisa nguvu za kiume.yaani iwe kwa matibabu ya sindano,vidonge ama operation ndio maana watu wengi hawapendi kufanya matibabu ya hii ugonjwa wanaona bora wafe na uanaume wao(ulijali).

haya ameongea leo alipokua kupitia na BBC swahili na bwana Kikeke.

my take: hpo kwenye kuua ama kupunguza nguvu za kiume ndo pagumu sana......
Mm binafsi nimemsikikiza yule Dada na Alikua anataka kireveal Ukweli Fulani Hivii.
At the Same Time Kikeke akawa kama anajaribu Kukwepesha kwa kuuliza Maswali Mengine .

Sababu moja aliyoitaja Daktari naona umeisahau ni ...Njia Inayotumika Kuipima Tezi Dume . Hii pia inawadiacourage wengi.
 
Marehem spika alikataa kufanyiwa upasuaji kwa sababu hakutaka kupoteza nguvu matokeo yake ndio ikamuondoa inabidi ukubali matokeo tu km ukiwa nao
 
Ata baba yangu mzee miaka sitini na kitu akakataa paka tukampoteza sijui wanaona fahari gani kuwa na izo nguvu wakati wanawatoto wakubwa
 
vijana wa kiume ndo wanaongoza kwa maneno chefu kwenye uzi huu, wanasahau huu ugonjwa ni wa mwanaume yeyote. Wengine ni watu wenye heshima tele humu jf.
 
Babu Seya atolewe asaidie kazi[emoji12]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom