strongfeelings
Member
- Oct 25, 2016
- 38
- 24
Kwan uanaume kitu gan bhana urijali urijali ht kama ni mm ndo naumwa hata kama ndo nimebalehe natolewa siwez kaa Na ugonjwa et kisa uanaume never.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukurupukaji wa kiwango cha lami.Masikini JK
Wewe unataka kumchokoza mzee mstaafu
Hata mimi pia nilifuatilia hicho kipindi na nilimsikia huyo Daktari akisema hivyo. Tatizo jingine ni kwamba namna inayotumika kupima ugonjwa huu wa tezi dume sio nzuri kwa mwanaume, sababu ni lazima Daktari akuingizie vidole kwenye njia ya "haja kumbwa" ili aweze kuzigusa tezi hizo na kuhisi ukubwa wa tezi hizo. Hapo ndipo penye shida kubwa sana. Wanaume wachache sana wanakubali hicho kipimo, wengi wao wakifika hospitali na wakiambiwa inatakiwa wapimwe kwa namna hiyo huwa wanakataa na kuondoka.Kwa mujibu wa Daktari bingwa wa Saratani Mama Dominiki Kombe anadai matibabu ya saratani ya tezi dume yanapunguza au kuua kabisa nguvu za kiume.yaani iwe kwa matibabu ya sindano,vidonge ama operation ndio maana watu wengi hawapendi kufanya matibabu ya hii ugonjwa wanaona bora wafe na uanaume wao(ulijali).
haya ameongea leo alipokua kupitia na BBC swahili na bwana Kikeke.
my take: hpo kwenye kuua ama kupunguza nguvu za kiume ndo pagumu sana......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hali ya sasa ya bwana ndege,babu seya asahau kutokaBabu Seya atolewe asaidie kazi[emoji12]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sasa buraza mbona tunatishana, naomba iyo pepa ipite kushoto kabisajitahidi ufe ungali kijana,,
kama utafikisha miaka 55 kwenda juu we ni candidate wa tezi dume
"bwana yule" hapigi mzigo tenaNilitaka kuuliza swali ila nimekumbuka akaunti yangu inasoma elfu hamsini tu
"bwana yule" hapigi mzigo tena
usisubutu kuuliza hiloNilitaka kuuliza swali ila nimekumbuka akaunti yangu inasoma elfu hamsini tu
Bwana yupi?Lkn nishajua swali lako kumhusu bwana yule
Bwana yuleBwana yupi?
mkuu we ullzA tu yule jamaa sasa hvi hana power tenA yupo bize na Agrikacha.Nilitaka kuuliza swali ila nimekumbuka akaunti yangu inasoma elfu hamsini tu
naomba mungu aniepushie na huu ugonjwa maana style ya upimaji wake ni tatizo kwetu sye wanaume na ndoo maana watu wengi hawataki kwenda kupima.Unashauliwa ukapime ukifika age ya 45 na km hamna ndugu aliewahi kuugua unashauriwa pia ukapime kuanzia age ya 50
Hapana, tezi dume ni prostate, busha ni hydrocelepolen wagonjwa wa tez dume hiv tezi dume ndio busha
Nimefanyiwa upasuaji niko rijali kabisa, nijaribu usimulie badala ya kudhania tu, hahahaaaaKwahiyo mtu anaona bora afe na uanaume wake kuliko atibiwe!!! Aiseeee!!! Saaaaaasa mama naniliu inakuwaje!!
Omba yasikukuteKwan uanaume kitu gan bhana urijali urijali ht kama ni mm ndo naumwa hata kama ndo nimebalehe natolewa siwez kaa Na ugonjwa et kisa uanaume never.
Ila unapata retrograde ejaculation. No discussion on thatNimefanyiwa upasuaji niko rijali kabisa, nijaribu usimulie badala ya kudhania tu, hahahaaaa
Hapa sijui umeandika nini ? Kwa hiyo kansa sio ugonjwa ?Ukurupukaji wa kiwango cha lami.
Tofautisha ugonjwa wa tezi dune na kansa ya tezi dume.
Jk alikuwa na tatizo la tezi dume na si tatizo la kansa ya tezi dume.
Huyo mama kazungumzia tatizo la kansa ya tezi dume