covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Na hako kanchi kadogo kanaitwa serikali.Nilishaandika hii nchi inakanchi kadogo ndani yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hako kanchi kadogo kanaitwa serikali.Nilishaandika hii nchi inakanchi kadogo ndani yake
Alikua sahihi na bado Yuko sahihi kabisaUmenikumbusha aliyosema Dr Kitine kuwa ni bora viongozi wakiapa wasishike misahafu bali waape wameshikilia matumbo yao!
Bongo ni Taifa namba moja kwa upuuzi kwa nchi za Afrika Mashariki na kati. Yamekalilishwa amani tu huku menzao ya ngazi za juu huko yanatafuna nchi yapendavyo.Mbona kama vile nchi hii ina Ufa mkubwa sana wa kujali raia wake?
Yaani mwanajeshi mstaafu kapigana vita Uganda na kaponea chupuchupu mara kadhaa vitani, daktari aliyestaafu miaka ya 1990 na Mungu amempa maisha mpaka leo au Mwalimu aliyekuwa anatumika kwa moyo wote miaka hiyo bahati mbaya kwa serikali HAJAFA hadi leo anapokea kutoka HAZINA shs laki moja kama pension kila mwezi lakini eti wake wa viongozi nao wawe wanalipwa mamilioni 25% ya mishahara waliyokuwa wanalipwa waume zao?
Basi nchi hii ni tajiri sana! Lakini kwa nini haiwakumbuki basi hata hawa wazee waliolitumikia taifa kwa moyo mmoja enzi hizo.
Kumbukeni nazungumzia wastaafu walio staafu zamani 1998 kwenda nyuma kabla ya mifuko ya jamii haijaanza na wanalipwa na Hazina.
Kwanza sidhani kama wastaafu hawa wanazidi 5000 nchi nzima maana wengi wametangulia mbele ya haki waliobaki ni mateso tuu.
Mara ya mwisho kiwango hiki kupanda na kuwa laki moja ni miaka 10 iliyopita wakati wa JK.
Waoneeni huruma acheni uchoyo.
View attachment 2744590View attachment 2744592
Kwa kweli...Ifike mahali hawa akina kikwete and the like watosheke, huyu mama hana mshipa wa aibu
Wewe acha ujinga. Kwani wakiingia Chadema hawatafanya hivyo? Kama walipendeleana kupeana viti maalum watashindwa nini kupitisha hoja kama hizi?Bado utakuta kuna watanzania masikini wanatembea na kadi ya CCM!!!
Tatizo ni umasikini uliotukamata na siyo kwa bahati mbaya bali ni mkakati wa ccm tuendelee kuwa masikini.Mkitaka haya yasitokee ipigeni chini ccm.
Wa tz tuna tatizo moja maovu tunayaona ila zile 10k kipindi cha uchaguzi zinachanganya watu wanasahau hata upewe millioni uchaguzi ukiisha nanhela imeiaha unateeka tena miaka mitano
Ila maamuzi yakiamuliwa kufanyika yanafanyika. Umaskini haumalizwi na vihela vya uchaguzi ni watu wameua kutoangalia mbaliTatizo ni umasikini uliotukamata na siyo kwa bahati mbaya bali ni mkakati wa ccm tuendelee kuwa masikini.
CCM inatumia utulivu na amani iliyopo nchini KUJIKWAPULIA mali na ukwasi isivyo haki.Mbona kama vile nchi hii ina Ufa mkubwa sana wa kujali raia wake?
Yaani mwanajeshi mstaafu kapigana vita Uganda na kaponea chupuchupu mara kadhaa vitani, daktari aliyestaafu miaka ya 1990 na Mungu amempa maisha mpaka leo au Mwalimu aliyekuwa anatumika kwa moyo wote miaka hiyo bahati mbaya kwa serikali HAJAFA hadi leo anapokea kutoka HAZINA shs laki moja kama pension kila mwezi lakini eti wake wa viongozi nao wawe wanalipwa mamilioni 25% ya mishahara waliyokuwa wanalipwa waume zao?
Basi nchi hii ni tajiri sana! Lakini kwa nini haiwakumbuki basi hata hawa wazee waliolitumikia taifa kwa moyo mmoja enzi hizo.
Kumbukeni nazungumzia wastaafu walio staafu zamani 1998 kwenda nyuma kabla ya mifuko ya jamii haijaanza na wanalipwa na Hazina.
Kwanza sidhani kama wastaafu hawa wanazidi 5000 nchi nzima maana wengi wametangulia mbele ya haki waliobaki ni mateso tuu.
Mara ya mwisho kiwango hiki kupanda na kuwa laki moja ni miaka 10 iliyopita wakati wa JK.
Waoneeni huruma acheni uchoyo.
View attachment 2744590View attachment 2744592
Tulisha sema kuwa wanao ichagua ccm either ni masikini kupitiliza au ni wanufaika wa unyama wa ccmTuna mahela mengi kweli ya kuchezeachezea ila hatuna hela ya kuwapatia watu maji safi na salama.
Hawa CCM ni wabinafsi ajabu
Mtu dhaifu, ombwe la uongozi, mtu mwenye gentleman Degree, mtu anaeishia kucheka cheka anawezaje kuwa na nguvu kiasi hiki ?JK ndio anaendesha hii nchi na pale hatuna Bunge.