Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hata siyo CCM wote kuna koo kama 3 au 4 hiviCcm huwa wanajiona kuwa ndiyo wenye nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata siyo CCM wote kuna koo kama 3 au 4 hiviCcm huwa wanajiona kuwa ndiyo wenye nchi hii
Samaki ni samaki tuHata siyo CCM wote kuna koo kama 3 au 4 hivi
Utalaumiwa sana tena na kufungiwa shughuli zako watafungaKodi yangu inaenda kwa mchepuko wa fulani.
Sasa nikikwepa mtanilaumu ndugu zangu wana JF?
Mama hawezi kuwa na shaka ya mpunga maana anaweza kujichotea za kutosha na akaishi tuMama kaona mzee ana dalili ya kuvuta nini
Kwani wenza walichaguliwa na nani?Nilishaandika hii nchi inakanchi kadogo ndani yake
CCM haina cha maana cha KUFIKIRI tena,huo ndio upuuzi wao na hilo ndio Bunge la ngedere likiongozwa na spika ngedere.Mbona kama vile nchi hii ina Ufa mkubwa sana wa kujali raia wake?
Yaani mwanajeshi mstaafu kapigana vita Uganda na kaponea chupuchupu mara kadhaa vitani, daktari aliyestaafu miaka ya 1990 na Mungu amempa maisha mpaka leo au Mwalimu aliyekuwa anatumika kwa moyo wote miaka hiyo bahati mbaya kwa serikali HAJAFA hadi leo anapokea kutoka HAZINA shs laki moja kama pension kila mwezi lakini eti wake wa viongozi nao wawe wanalipwa mamilioni 25% ya mishahara waliyokuwa wanalipwa waume zao?
Basi nchi hii ni tajiri sana! Lakini kwa nini haiwakumbuki basi hata hawa wazee waliolitumikia taifa kwa moyo mmoja enzi hizo.
Kumbukeni nazungumzia wastaafu walio staafu zamani 1998 kwenda nyuma kabla ya mifuko ya jamii haijaanza na wanalipwa na Hazina.
Kwanza sidhani kama wastaafu hawa wanazidi 5000 nchi nzima maana wengi wametangulia mbele ya haki waliobaki ni mateso tuu.
Mara ya mwisho kiwango hiki kupanda na kuwa laki moja ni miaka 10 iliyopita wakati wa JK. Waoneeni huruma acheni uchoyo.
View attachment 2744590View attachment 2744592
Bunge la Ccm lazima wajipendeleeHao wake wenza kazi Yao haswa ni nini mpaka wapewe pensheni? Kutandaza miguu au kutoa gymnastic style?
Sheria hiyo isiwabague na wake/ waume wote wenye wenza walio kazini na jobless spouses wao nyumbani.
Bunge halikutumwa kwenda kutunga sheria za kibaguzi au Kwa ajili ya manufaa ya VIP pekee…
Mbona kama vile nchi hii ina Ufa mkubwa sana wa kujali raia wake?
Yaani mwanajeshi mstaafu kapigana vita Uganda na kaponea chupuchupu mara kadhaa vitani, daktari aliyestaafu miaka ya 1990 na Mungu amempa maisha mpaka leo au Mwalimu aliyekuwa anatumika kwa moyo wote miaka hiyo bahati mbaya kwa serikali HAJAFA hadi leo anapokea kutoka HAZINA shs laki moja kama pension kila mwezi lakini eti wake wa viongozi nao wawe wanalipwa mamilioni 25% ya mishahara waliyokuwa wanalipwa waume zao?
Basi nchi hii ni tajiri sana! Lakini kwa nini haiwakumbuki basi hata hawa wazee waliolitumikia taifa kwa moyo mmoja enzi hizo.
Kumbukeni nazungumzia wastaafu walio staafu zamani 1998 kwenda nyuma kabla ya mifuko ya jamii haijaanza na wanalipwa na Hazina.
Kwanza sidhani kama wastaafu hawa wanazidi 5000 nchi nzima maana wengi wametangulia mbele ya haki waliobaki ni mateso tuu.
Mara ya mwisho kiwango hiki kupanda na kuwa laki moja ni miaka 10 iliyopita wakati wa JK. Waoneeni huruma acheni uchoyo.
View attachment 2744590View attachment 2744592
Kura haziibiwi kituoni na mwl hawezi kuiba kura, acha kuandika usichokijua.Huo ujumbe uwafikie walimu wanaoisaidia CCM kuiba kura
Point yangu ni kwamba tujifunze kupigania haki zetu na kushinikiza kubadili yale tunayoona hayafai, haiwezekani kila jambo iwe suluhisho ni kusubiri et hadi ccm itoke madarani kana kwamba wakitoka hao ccm wanaingia madarakani malaika ambapo kila kitu kitakuwa sawa.Upo sahihi sana mkuu ila hebu tuambie wanabadilishikaje hawa viongozi wetu maana nia ni kuwa na nchi yenye wananchi wenye ustawi
Na ni kweli wanaona hivyo maana kila wanalotaka ndio linakuwa hivyo, sie tunasubiri hadi siku ya kutokea ccm kutoka madarakani.Ccm huwa wanajiona kuwa ndiyo wenye nchi hii
Hili nami limenishangaza sana what selfishness!walimu,polisi,wanajeshi na watumishi wote wanateseka inapokuja kwenye stahiki zao halali kabisa za kustaafu!daaah pole pole jamani,huko mbeleni wanaweza kuja kutunga sheria za kuwalipa watoto na wajukuu wao viinua mgogoMbona kama vile nchi hii ina Ufa mkubwa sana wa kujali raia wake?
Yaani mwanajeshi mstaafu kapigana vita Uganda na kaponea chupuchupu mara kadhaa vitani, daktari aliyestaafu miaka ya 1990 na Mungu amempa maisha mpaka leo au Mwalimu aliyekuwa anatumika kwa moyo wote miaka hiyo bahati mbaya kwa serikali HAJAFA hadi leo anapokea kutoka HAZINA shs laki moja kama pension kila mwezi lakini eti wake wa viongozi nao wawe wanalipwa mamilioni 25% ya mishahara waliyokuwa wanalipwa waume zao?
Basi nchi hii ni tajiri sana! Lakini kwa nini haiwakumbuki basi hata hawa wazee waliolitumikia taifa kwa moyo mmoja enzi hizo.
Kumbukeni nazungumzia wastaafu walio staafu zamani 1998 kwenda nyuma kabla ya mifuko ya jamii haijaanza na wanalipwa na Hazina.
Kwanza sidhani kama wastaafu hawa wanazidi 5000 nchi nzima maana wengi wametangulia mbele ya haki waliobaki ni mateso tuu.
Mara ya mwisho kiwango hiki kupanda na kuwa laki moja ni miaka 10 iliyopita wakati wa JK. Waoneeni huruma acheni uchoyo.
View attachment 2744590View attachment 2744592
pambania koo yako iwe ya tano …au nawe unasubiria Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ?Hata siyo CCM wote kuna koo kama 3 au 4 hivi