Hii ya wake wa viongozi wastaafu kuanza kulipwa ni zaidi ya too much

Asee inasikitisha sana sasa wanapewa mapesa yote hayo ili iweje na wakati mabwana zao walikuwa maraisi ...mfano Salma Kikwete sahizi mbunge baada ya 5 years anakula over 200m ya pension ya ubunge,Mmewe kikwete ana mihela ya kutosha tu bado ana pension ya kustaafu which means their future is guaranteed with luxuries bado na hiyo 25% duh ya nini haswa....hawa watu ni heartless kabisa....watakuja kutuletea na pension ya mtoto wa raisi mwishowe
 
Bongo ni Taifa namba moja kwa upuuzi kwa nchi za Afrika Mashariki na kati. Yamekalilishwa amani tu huku menzao ya ngazi za juu huko yanatafuna nchi yapendavyo.
 
Wajiandae kuvitapika hivi wanavyojilimbikizia muda ukifika. Maana hatuwezi kuendelea kuvumilia upuuzi kama huo katika nchi yetu.
Yaani badala ya kutetea wananchi maisha yamekuwa magumu, yeye anakaa kuwaza upumbavu kama huo! Jinga sana.

Aina hii ya viongozi ni JANGA KWA TAIFA.
 
Halafu angetumia hata nusu za akili zake basi kuwapanga watu wengine wawe wasemaji wa hoja zake za u-selfish. Anasimama yeye kama yeye? Hayo mapesa mnayotaka ya nini lakini mbona maisha yenyewe ni mafupi yaliyojaa upuuzi tu?? Hivi benefits wanazopata viongozi wakuu wa nchi hii bado kuna haja ya kuleta hoja ya kipuuzi namna hii kweli?
 
Mkitaka haya yasitokee ipigeni chini ccm.
Wa tz tuna tatizo moja maovu tunayaona ila zile 10k kipindi cha uchaguzi zinachanganya watu wanasahau hata upewe millioni uchaguzi ukiisha nanhela imeiaha unateeka tena miaka mitano
 
Mkitaka haya yasitokee ipigeni chini ccm.
Wa tz tuna tatizo moja maovu tunayaona ila zile 10k kipindi cha uchaguzi zinachanganya watu wanasahau hata upewe millioni uchaguzi ukiisha nanhela imeiaha unateeka tena miaka mitano
Tatizo ni umasikini uliotukamata na siyo kwa bahati mbaya bali ni mkakati wa ccm tuendelee kuwa masikini.
 
CCM inatumia utulivu na amani iliyopo nchini KUJIKWAPULIA mali na ukwasi isivyo haki.

Amani na Utulivu ni nyenzo ya maendeleo kwa Umma na siyo kuwasadiia watawala kuwanyonya Watanzania.

Wamelileta hili jambo ili kutututoa kwenye ishu ya bandari

Hii fhambi itawatafuna.
 
Tuna mahela mengi kweli ya kuchezeachezea ila hatuna hela ya kuwapatia watu maji safi na salama.

Hawa Watawala ni wabinafsi ajabu

Kwa hiyo Samia anataka kumtengenezea mumewe mchongo wa hela za burebure at our expense. Huyo mumewe anatufanyia sisi kazi gani hadi astahili ujira ambayo ni kodi zetu?. Shame on her

Mwalimu Nyerere kwa miaka 24 aliyokaa madarakani hakuwa na ulafi na tamaa za kijinga kama hizi. Haikumuingia akilini atengeneze sheria ili akistaafu mama Maria naye alipwe posho kisa eti ni mkewe

Hii ikuonyeshe kuwa, hawa walafi wanawaza kula tu na siyo kuongeza tija au kutatua kero za wananchi!

Yaani katika kero zooote ambazo zinawaumiza wananchi, hawa walafi wanaona eti kuwapatia wapenzi wao maposho ndiyo priority. Hopeless kabisa!

Kwa hiyo wanataka kuwalipa wake wa sumaye, Warioba, Msuya, Malechela, Pinda, Gharib Bilal, na wengineo simply kwa sababu walikuwa wanalala vitandani na waume zao?. Sisi inatuhusu nini hii?. Nasikia na wengine kati ya hao wana wake zaidi ya mmoja!

Watunzeni kwa mafao ya waume zao, lakini msitubebeshe mzigo sisi!

Hii mijitu ni useless kabisa!
 
JK ndio anaendesha hii nchi na pale hatuna Bunge.
Mtu dhaifu, ombwe la uongozi, mtu mwenye gentleman Degree, mtu anaeishia kucheka cheka anawezaje kuwa na nguvu kiasi hiki ?

tukiwa waongo tupiganie tuwe na kumbukumbu ya tulichosema jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…