simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Nadhani hujanielewa, ni kwamba rwanda inautaratibu wa kuleta wanafunzi UDSM, lakini mwaka huu wanafunzi 35 kati ya 100 wamedisco na kurudishwa rwanda.
Mkuu mnafeli kwa vile hamfikii viwango kwenda Ulaya na Marekani si hoja hata sisi tumepita huko.
Ulaya na Marekani ukienda vyuo vya ovyo ovyo utapasi tu lakini unarudi mbumbumbu.
Viwango vilivyoachwa na wajerumani wakati huo FoE sasa CoeT ni vya elimu ya uhandisi vya kimataifa.
Disco zilikuwepo, zipo na zitendelea kuwepo mwanafunzi asipofikia viwango.
Habari za jioni wanajamvi!
Leo hii nimekutana na tukio moja la kushangaza kidogo. Tulikuwa tunajadili mambo mbalimbali ya masomo na wanyarwanda ambao nasoma nao nje ya nchi. Baada ya mazungumzo mengi wakaanza kunidodosa mambo yahusuyo elimu ya Tanzania, swali kubwa ambalo niliulizwa hivi elimu ya Tanzania ni ngumu sana, kuna tofauti gani kati ya elimu ya Tanzania na Rwanda au nchi nyingine za afrika mashariki.
Baada ya mazungumzo ya muda kidogo nilikuja kugundua chanzo cha maswali yote hayo ilikuwa kuna wanafunzi wapatao 35 kati ya 100 waliokuwa wanasoma Chuo kikuu wamefeli (Disco) na wanatakiwa kurudi Rwanda. Hao wanyarwanda wanasema hii ni mara ya kwanza kutokea kwao kwa kuwa wanafunzi hupelekwa sehemu mbalimbali afrika mashariki na sehemu nyingine lakini haijawahi kutokea wanafunzi wakafeli namna hii.
Kiukweli hawajasema direct kwamba kuna fitina imefanyika kwa wanafunzi wao lakini hisia zao zinaonyesha moja kwa moja kwamba wamehujumiwa. Ingawa walionyesha labda tatizo la lugha maana wanafunzi wengi wa Rwanda, elimu yao huipata kwa kifaransa na chinyarwanda lakini bado wanajiuliza kwa nini iwe mwaka huu na sio miaka mengine. Kwa sasa wizara ya elimu inawasubiri wanafunzi hao ili kuongea nao kujua chanzo cha wanafunzi wengi kufeli, kwa kuwa wanafunzi wote hao walikuwa wansomeshwa na serikali ya Rwanda.
Mkuu msingi wa elimu ya juu inatengenezwa toka elimu ya msingi na si pale chuo kikuu.Unazungumzia ''viwango'' gani ndugu yangu! Hivi vya graduates ambao wanamaliza hawajui hata kuandika kiswahili au hivi vya kutanguliza titles za ''Injinia'' kwenye majina! Ubora wa elimu unapimwa kwa vitu wanavyofanya wahitimu BAADA ya kumaliza masomo na sio mitihani migumu! Ingekuwa kuna viwango tusingeshindwa kujenga hata vitu vya kawaida kama barabara!
Mkuu, hao wanyarwanda wapo sahihi kabisa. Kwanini!. Tanzania ni moja ya nchi (inaweza kushika namba moja) ambayo rate ya kufeli wanafunzi wa vyuo vikuu ni kubwa sana. Nimeenda Ulaya nimeenda Marekani nimeenda Asia. Kwangu mimi sijaona wanafunzi wakifeli namna hii. Halafu cha ajabu ni kuwa ma-graduate wa vyuo vikuu vya Tanzania sio bora kama wanaohitimu Ulaya nk. Kunani? Bado elimu yetu imejikita kwenye kukariri kukariri kukariri na kukariri. Ndio maana wengi wa wanafunzi wa vyuo hawaishi kuingia na nyenzo kwenye mitihani!
Unazungumzia ''viwango'' gani ndugu yangu! Hivi vya graduates ambao wanamaliza hawajui hata kuandika kiswahili au hivi vya kutanguliza titles za ''Injinia'' kwenye majina! Ubora wa elimu unapimwa kwa vitu wanavyofanya wahitimu BAADA ya kumaliza masomo na sio mitihani migumu! Ingekuwa kuna viwango tusingeshindwa kujenga hata vitu vya kawaida kama barabara!
Siku hizi UDSM hata kama una div four wanakupeleka sheria ,ukiwa na ukiwa na kiprincipal hata kimoja unasoma engineering, muwe mnatembelea website ya UDSM wale wanaojilipia ,sijui third round sijui nini ,utacheka sana.Elimu imeshuka na itazidi kushuka bongo,watu wamefeli huku chini wanapita njia za panya pesa tu
Acha sound za kizungu hizo nimekaaa UDSM miaka minne napajua vizuri ,TCU wameharibu elimuNo research no right to speak. Visit the website and if possible pay visit to UDSoL (be informed that the university will be officially opened on 21st this month) and make a small study on entry qualification for students enrolled in the 2nd, 3rd and 4th year of studies in the school. Hopefully, you will get the fact. Just an advice.
Kweli mkuu hapo umenena,, Cha kushangaza ni kwamba, eti kufeli kwa watu ni sifa, tofauti na nchi nyingine ambazo,, kwanza ni aibu swala kama hilo, maprofesa na wahadhiri wanasikitika kwa hilo, lakini tanzania wanavimba vichwa, eti wao noma,, wanakula vichwa,, Elimu yetu bado haiko katika level ya kutengeneza wataalamu, inatengeneza wataalamu wa kukariri, lazima iwe ngumu,, wahadhiri kukariri, wanafunzi kukariri unategemea nin hapo,, ndio maana wakipata chance za kusoma nje ya Tanzania, wanafanya vizuri.
Acha sound za kizungu hizo nimekaaa UDSM miaka minne napajua vizuri ,TCU wameharibu elimu
hebu fungua hii admission ya mwaka huu ,third round from UDSM website
View attachment 116617 ,muone huyo namba 38 ,masiala haya sheria ya UDSM ndio imekua hivyo\
OLEVELPHP:
CIV C, HIS C, GEO F,
KIS B, ENG B, L/ENG F
BIO F, AGR SC. F,
A LEVEL
MATH F GEN S, HIS F, GEO F, KIS E
UD053 Bachelor of Laws
from www.udsm.ac.tz/announcements/third round applicants selected
Habari za jioni wanajamvi!
Leo hii nimekutana na tukio moja la kushangaza kidogo. Tulikuwa tunajadili mambo mbalimbali ya masomo na wanyarwanda ambao nasoma nao nje ya nchi. Baada ya mazungumzo mengi wakaanza kunidodosa mambo yahusuyo elimu ya Tanzania, swali kubwa ambalo niliulizwa hivi elimu ya Tanzania ni ngumu sana, kuna tofauti gani kati ya elimu ya Tanzania na Rwanda au nchi nyingine za afrika mashariki.
Baada ya mazungumzo ya muda kidogo nilikuja kugundua chanzo cha maswali yote hayo ilikuwa kuna wanafunzi wapatao 35 kati ya 100 waliokuwa wanasoma Chuo kikuu wamefeli (Disco) na wanatakiwa kurudi Rwanda. Hao wanyarwanda wanasema hii ni mara ya kwanza kutokea kwao kwa kuwa wanafunzi hupelekwa sehemu mbalimbali afrika mashariki na sehemu nyingine lakini haijawahi kutokea wanafunzi wakafeli namna hii.
Kiukweli hawajasema direct kwamba kuna fitina imefanyika kwa wanafunzi wao lakini hisia zao zinaonyesha moja kwa moja kwamba wamehujumiwa. Ingawa walionyesha labda tatizo la lugha maana wanafunzi wengi wa Rwanda, elimu yao huipata kwa kifaransa na chinyarwanda lakini bado wanajiuliza kwa nini iwe mwaka huu na sio miaka mengine. Kwa sasa wizara ya elimu inawasubiri wanafunzi hao ili kuongea nao kujua chanzo cha wanafunzi wengi kufeli, kwa kuwa wanafunzi wote hao walikuwa wansomeshwa na serikali ya Rwanda.
Nadhani hujanielewa, ni kwamba rwanda inautaratibu wa kuleta wanafunzi UDSM, lakini mwaka huu wanafunzi 35 kati ya 100 wamedisco na kurudishwa rwanda.
Acha sound za kizungu hizo nimekaaa UDSM miaka minne napajua vizuri ,TCU wameharibu elimu
hebu fungua hii admission ya mwaka huu ,third round from UDSM website
View attachment 116617 ,muone huyo namba 38 ,masiala haya sheria ya UDSM ndio imekua hivyo\
OLEVEL
CIV C, HIS C, GEO F,
KIS B, ENG B, L/ENG F
BIO F, AGR SC. F,
A LEVEL
MATH F GEN S, HIS F, GEO F, KIS E
UD053 Bachelor of Laws
from www.udsm.ac.tz/announcements/third round applicants selected
Mkuu hii nimeipenda!Unazungumzia ''viwango'' gani ndugu yangu! Hivi vya graduates ambao wanamaliza hawajui hata kuandika kiswahili au hivi vya kutanguliza titles za ''Injinia'' kwenye majina! Ubora wa elimu unapimwa kwa vitu wanavyofanya wahitimu BAADA ya kumaliza masomo na sio mitihani migumu! Ingekuwa kuna viwango tusingeshindwa kujenga hata vitu vya kawaida kama barabara!