Hii ya wanafunzi wa Rwanda ni fitina au vilaza

Nadhani hujanielewa, ni kwamba rwanda inautaratibu wa kuleta wanafunzi UDSM, lakini mwaka huu wanafunzi 35 kati ya 100 wamedisco na kurudishwa rwanda.

Nipe proportion ya wanafunzi walo disco miaka angalau mitano nyuma, nitakupa jibu la uhakika kama ni hujuma au random tukio.
 
Mkuu mnafeli kwa vile hamfikii viwango kwenda Ulaya na Marekani si hoja hata sisi tumepita huko.

Ulaya na Marekani ukienda vyuo vya ovyo ovyo utapasi tu lakini unarudi mbumbumbu.

Viwango vilivyoachwa na wajerumani wakati huo FoE sasa CoeT ni vya elimu ya uhandisi vya kimataifa.

Disco zilikuwepo, zipo na zitendelea kuwepo mwanafunzi asipofikia viwango.

Unazungumzia ''viwango'' gani ndugu yangu! Hivi vya graduates ambao wanamaliza hawajui hata kuandika kiswahili au hivi vya kutanguliza titles za ''Injinia'' kwenye majina! Ubora wa elimu unapimwa kwa vitu wanavyofanya wahitimu BAADA ya kumaliza masomo na sio mitihani migumu! Ingekuwa kuna viwango tusingeshindwa kujenga hata vitu vya kawaida kama barabara!
 
Habari za jioni wanajamvi!

Leo hii nimekutana na tukio moja la kushangaza kidogo. Tulikuwa tunajadili mambo mbalimbali ya masomo na wanyarwanda ambao nasoma nao nje ya nchi. Baada ya mazungumzo mengi wakaanza kunidodosa mambo yahusuyo elimu ya Tanzania, swali kubwa ambalo niliulizwa hivi elimu ya Tanzania ni ngumu sana, kuna tofauti gani kati ya elimu ya Tanzania na Rwanda au nchi nyingine za afrika mashariki.

Baada ya mazungumzo ya muda kidogo nilikuja kugundua chanzo cha maswali yote hayo ilikuwa kuna wanafunzi wapatao 35 kati ya 100 waliokuwa wanasoma Chuo kikuu wamefeli (Disco) na wanatakiwa kurudi Rwanda. Hao wanyarwanda wanasema hii ni mara ya kwanza kutokea kwao kwa kuwa wanafunzi hupelekwa sehemu mbalimbali afrika mashariki na sehemu nyingine lakini haijawahi kutokea wanafunzi wakafeli namna hii.

Kiukweli hawajasema direct kwamba kuna fitina imefanyika kwa wanafunzi wao lakini hisia zao zinaonyesha moja kwa moja kwamba wamehujumiwa. Ingawa walionyesha labda tatizo la lugha maana wanafunzi wengi wa Rwanda, elimu yao huipata kwa kifaransa na chinyarwanda lakini bado wanajiuliza kwa nini iwe mwaka huu na sio miaka mengine. Kwa sasa wizara ya elimu inawasubiri wanafunzi hao ili kuongea nao kujua chanzo cha wanafunzi wengi kufeli, kwa kuwa wanafunzi wote hao walikuwa wansomeshwa na serikali ya Rwanda.

Wamedisco kweli hao , elimu ya bongo inahitaji umakini aisee especially ukiwa kwenye vyuo flan strict
 
Unazungumzia ''viwango'' gani ndugu yangu! Hivi vya graduates ambao wanamaliza hawajui hata kuandika kiswahili au hivi vya kutanguliza titles za ''Injinia'' kwenye majina! Ubora wa elimu unapimwa kwa vitu wanavyofanya wahitimu BAADA ya kumaliza masomo na sio mitihani migumu! Ingekuwa kuna viwango tusingeshindwa kujenga hata vitu vya kawaida kama barabara!
Mkuu msingi wa elimu ya juu inatengenezwa toka elimu ya msingi na si pale chuo kikuu.
Nafikiri umeshawahi kusikia msemo wa garbage in, garbage out!!
 
Mkuu, hao wanyarwanda wapo sahihi kabisa. Kwanini!. Tanzania ni moja ya nchi (inaweza kushika namba moja) ambayo rate ya kufeli wanafunzi wa vyuo vikuu ni kubwa sana. Nimeenda Ulaya nimeenda Marekani nimeenda Asia. Kwangu mimi sijaona wanafunzi wakifeli namna hii. Halafu cha ajabu ni kuwa ma-graduate wa vyuo vikuu vya Tanzania sio bora kama wanaohitimu Ulaya nk. Kunani? Bado elimu yetu imejikita kwenye kukariri kukariri kukariri na kukariri. Ndio maana wengi wa wanafunzi wa vyuo hawaishi kuingia na nyenzo kwenye mitihani!

Kweli mkuu hapo umenena,, Cha kushangaza ni kwamba, eti kufeli kwa watu ni sifa, tofauti na nchi nyingine ambazo,, kwanza ni aibu swala kama hilo, maprofesa na wahadhiri wanasikitika kwa hilo, lakini tanzania wanavimba vichwa, eti wao noma,, wanakula vichwa,, Elimu yetu bado haiko katika level ya kutengeneza wataalamu, inatengeneza wataalamu wa kukariri, lazima iwe ngumu,, wahadhiri kukariri, wanafunzi kukariri unategemea nin hapo,, ndio maana wakipata chance za kusoma nje ya Tanzania, wanafanya vizuri.
 
Unazungumzia ''viwango'' gani ndugu yangu! Hivi vya graduates ambao wanamaliza hawajui hata kuandika kiswahili au hivi vya kutanguliza titles za ''Injinia'' kwenye majina! Ubora wa elimu unapimwa kwa vitu wanavyofanya wahitimu BAADA ya kumaliza masomo na sio mitihani migumu! Ingekuwa kuna viwango tusingeshindwa kujenga hata vitu vya kawaida kama barabara!

kweli kabisa, thumb up!
 
Siku hizi UDSM hata kama una div four wanakupeleka sheria ,ukiwa na ukiwa na kiprincipal hata kimoja unasoma engineering, muwe mnatembelea website ya UDSM wale wanaojilipia ,sijui third round sijui nini ,utacheka sana.Elimu imeshuka na itazidi kushuka bongo,watu wamefeli huku chini wanapita njia za panya pesa tu
 
Kumbe wanakupiwa na serikali tao? Poor UDSM mmepoteza pesa yote hio kwa kuwafelisha watu? I dont think kuwa walikuwa vilaza kwa kiwango cha kudisko.. Kumbukeni hawa walipewa scholarship na gvt watakachoenda kusema kwao ni watasingizia siasa
 
Siku hizi UDSM hata kama una div four wanakupeleka sheria ,ukiwa na ukiwa na kiprincipal hata kimoja unasoma engineering, muwe mnatembelea website ya UDSM wale wanaojilipia ,sijui third round sijui nini ,utacheka sana.Elimu imeshuka na itazidi kushuka bongo,watu wamefeli huku chini wanapita njia za panya pesa tu

No research no right to speak. Visit the website and if possible pay visit to UDSoL (be informed that the university will be officially opened on 21st this month) and make a small study on entry qualification for students enrolled in the 2nd, 3rd and 4th year of studies in the school. Hopefully, you will get the fact. Just an advice.
 
Acha sound za kizungu hizo nimekaaa UDSM miaka minne napajua vizuri ,TCU wameharibu elimu
hebu fungua hii admission ya mwaka huu ,third round from UDSM website

View attachment Additional Admission List 2013 2014.pdf ,muone huyo namba 38 ,masiala haya sheria ya UDSM ndio imekua hivyo\

PHP:
OLEVEL
CIV C, HIS C, GEO F,
KIS B, ENG B, L/ENG F
BIO F, AGR SC. F,
A LEVEL
MATH F GEN S, HIS F, GEO F, KIS E
UD053 Bachelor of Laws
from www.udsm.ac.tz/announcements/third round applicants selected
 
Kweli mkuu hapo umenena,, Cha kushangaza ni kwamba, eti kufeli kwa watu ni sifa, tofauti na nchi nyingine ambazo,, kwanza ni aibu swala kama hilo, maprofesa na wahadhiri wanasikitika kwa hilo, lakini tanzania wanavimba vichwa, eti wao noma,, wanakula vichwa,, Elimu yetu bado haiko katika level ya kutengeneza wataalamu, inatengeneza wataalamu wa kukariri, lazima iwe ngumu,, wahadhiri kukariri, wanafunzi kukariri unategemea nin hapo,, ndio maana wakipata chance za kusoma nje ya Tanzania, wanafanya vizuri.

mia kwa mia mkuu
 
Acha sound za kizungu hizo nimekaaa UDSM miaka minne napajua vizuri ,TCU wameharibu elimu
hebu fungua hii admission ya mwaka huu ,third round from UDSM website

View attachment 116617 ,muone huyo namba 38 ,masiala haya sheria ya UDSM ndio imekua hivyo\

PHP:
OLEVEL
CIV C, HIS C, GEO F,
KIS B, ENG B, L/ENG F
BIO F, AGR SC. F,
A LEVEL
MATH F GEN S, HIS F, GEO F, KIS E
UD053 Bachelor of Laws
from www.udsm.ac.tz/announcements/third round applicants selected

Oo year!!
 
Habari za jioni wanajamvi!

Leo hii nimekutana na tukio moja la kushangaza kidogo. Tulikuwa tunajadili mambo mbalimbali ya masomo na wanyarwanda ambao nasoma nao nje ya nchi. Baada ya mazungumzo mengi wakaanza kunidodosa mambo yahusuyo elimu ya Tanzania, swali kubwa ambalo niliulizwa hivi elimu ya Tanzania ni ngumu sana, kuna tofauti gani kati ya elimu ya Tanzania na Rwanda au nchi nyingine za afrika mashariki.

Baada ya mazungumzo ya muda kidogo nilikuja kugundua chanzo cha maswali yote hayo ilikuwa kuna wanafunzi wapatao 35 kati ya 100 waliokuwa wanasoma Chuo kikuu wamefeli (Disco) na wanatakiwa kurudi Rwanda. Hao wanyarwanda wanasema hii ni mara ya kwanza kutokea kwao kwa kuwa wanafunzi hupelekwa sehemu mbalimbali afrika mashariki na sehemu nyingine lakini haijawahi kutokea wanafunzi wakafeli namna hii.

Kiukweli hawajasema direct kwamba kuna fitina imefanyika kwa wanafunzi wao lakini hisia zao zinaonyesha moja kwa moja kwamba wamehujumiwa. Ingawa walionyesha labda tatizo la lugha maana wanafunzi wengi wa Rwanda, elimu yao huipata kwa kifaransa na chinyarwanda lakini bado wanajiuliza kwa nini iwe mwaka huu na sio miaka mengine. Kwa sasa wizara ya elimu inawasubiri wanafunzi hao ili kuongea nao kujua chanzo cha wanafunzi wengi kufeli, kwa kuwa wanafunzi wote hao walikuwa wansomeshwa na serikali ya Rwanda.

Hao ni vilaza tu
 
Nadhani hujanielewa, ni kwamba rwanda inautaratibu wa kuleta wanafunzi UDSM, lakini mwaka huu wanafunzi 35 kati ya 100 wamedisco na kurudishwa rwanda.

ApitakujilambaNa wataendelea kudisco tu hata wote 100. Maana wao wakiwa chuo wanakuwa wanajifanya kama wazungu flani hivi japo weusi tii, nahisi labda ni kwa sababu ya vijisenti wanavyopewa na Guvt yao.Pia, wanapenda kujirusha sana, nakumbuka ile mitaa ya pale HallV walikuwa wanaweka muziki ghorofani na kuserebuka na kufungulia sauti za juu za radio kwenye vyumba vyao. Tena na siku hizi wameanza kupanga nje ya chuo ! sasa kufeli kutakosekana hapo! mwisho,wanaringa sana na wao wanakula maisha tu na kuvaa nguo za hovyo chuoni...hicho ndicho ambacho kipo ndani ya uwezo wao!!
 
Acha sound za kizungu hizo nimekaaa UDSM miaka minne napajua vizuri ,TCU wameharibu elimu
hebu fungua hii admission ya mwaka huu ,third round from UDSM website

View attachment 116617 ,muone huyo namba 38 ,masiala haya sheria ya UDSM ndio imekua hivyo\

OLEVEL
CIV C, HIS C, GEO F,
KIS B, ENG B, L/ENG F
BIO F, AGR SC. F,
A LEVEL
MATH F GEN S, HIS F, GEO F, KIS E
UD053 Bachelor of Laws
from www.udsm.ac.tz/announcements/third round applicants selected

MENISON kumbuka kuna private sponsorship. kama mtu ana hela zake anaweza kusoma tu ili mradi a meet cut off points za TCU au labda pengine hii ni typing error! wewe ulikuwa college gani? kama ni CoET wengine mbona hata last year walikuwa na marks njiwa lakini co kama hizo! NB: sijafungua hiyo link!
 
Unazungumzia ''viwango'' gani ndugu yangu! Hivi vya graduates ambao wanamaliza hawajui hata kuandika kiswahili au hivi vya kutanguliza titles za ''Injinia'' kwenye majina! Ubora wa elimu unapimwa kwa vitu wanavyofanya wahitimu BAADA ya kumaliza masomo na sio mitihani migumu! Ingekuwa kuna viwango tusingeshindwa kujenga hata vitu vya kawaida kama barabara!
Mkuu hii nimeipenda!
Nadhani Tanzania ndio nchi pekee watu kufanya hivyo.
Sijasikia hata siku moja nje ya bongo watu ambao ni engineers by profession wakijiita hivyo.
Mfano hawa hapa chini wote ni engineers lakini sijasikia eti sijui Engineer Yasser Arafat!!

Mahmoud Ahmedinajad
Osama Bin Laden
Hu Jintao
Jimmy Carter
Rowan Atkinson (Mr Bean)
John Sununu
Boris Yeltsin
Montell Williams
Henry Ford
Dolph Lundrgen
Donald Sutherland
Margareth Thatcher
Joe Girardi
Steve Wozniak
Leonardo da Vinci
Jerry Yang
Michael Bloomberg
Herbie Hancock
 
Back
Top Bottom