Hii Yanga iliyocheza na Ken Gold ya Chunya ndio inayolilia ubingwa?!

Hii Yanga iliyocheza na Ken Gold ya Chunya ndio inayolilia ubingwa?!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Msikilize Sunday Manara Computer

FT Yanga 1 - Ken Gold FC kutoka Chunya
Goli la penati

Nimejutia muda wangu,nimetazama mchezo mbovu kabisa wa timu inayoiita timu kubwa dhidi ya timu ndogo kutoka Chunya.

Siku ya jana msemaji wao Nugaz Antonio aliwaambia mashabiki hii timu itakula nyingi. Achana na idadi ya goli nazungumzia kiwango kibovu cha timu ikiwa full mkoko. Kama ndio mara ya kwanza kuiona Yanga unaweza kudhani ni timu ya mkoa.

Jana watazamaji wa Azam walishuhudia kiwango safi Simba Sc ikitumbuiza dhidi ya African Lyon. Licha ya kuweka kikosi cha pili lakini ilikuwa show show.

Ndugu zangu Yanga mjiandae kisaikolojia. Lolote likitokea msishikane uchawi.

Kiufupi ni timu inayohitaji huruma ya marefa
 
yanga hucheza kufuatana na mdundo jifanye hamnazo kama nyau uone unapigwa kimoko tu kama hawa jamaa

mwezi fabruary mwishoni yanga alikuwa kapata mfululizo wa sare akasema ni sare za harusi wajua kilicho tokea march 8

endelea kulopoka may si mbali
 
Simba inatoa hurudani Hadi genye zinapoa😂😂😂
haijawahi maliza genye za yanga inampiga kimoko na inajikuta bado inataka tena

subiri mwez may tuone kama burudani yake itamaliza genye za yanga
 
Back
Top Bottom