Hii Yanga iliyocheza na Ken Gold ya Chunya ndio inayolilia ubingwa?!

Mtoa mada ni Mbumbumbu/Mikia/Bidaboda kweli Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu unasifia mpira ule wa simba nani unamdanganya kuwa simba alicheza mchezo mkubwa/Mzuri hivi unalipwa shilingi ngapi ili kushinda kwenye mitandao kuiponda Yanga
 
Bado mnaweweseka na kipigo cha Mapinduzi cup, kwenye ligi tunawasubiri, tunataka mnywe za kutosha ili muache midomo.
 
Shida ya Utopolo wanahisi kumfunga Simba Ndio kuchukua ubingwa, kama Utopolo mnafurahi kumfunga Simba, Ruvu shooting yeye afanyeje?
Kwa kuruka ruka kwenu kule ndoto zenu za kuchukua ubingwa msahau. Ila muendelee na kuvimba kwa hisani ya Nugazi,
 
wewe ni mwana Simba,unalazimisha yanga iwe Simba,shangilia Tim yako haya mengine hayakuhusu.
 
Walioangalia mpra
leo
Vp Nchimbi na sarpon
wamefunga
 
Nimefurahi timu kongwe inasota kusaka ushindi dhidi ya timu changa..[emoji12][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…