Hii Yanga iliyocheza na Ken Gold ya Chunya ndio inayolilia ubingwa?!

Uzuri wa Yanga ukiwa na roho ya paka ndo unashabikia.
Ila kama moyo wa binadamu, unakufa na presha
 
Yanga wamejitahidi sana,uo mpira mbovu uliouona leo afadhali mara kumizaidi ya michezo ziliyopita.
Wanacheza mpira kama wanakimbiza ng'ombe aliepatwa na kichaa.
Haya ndo malipo ya kuwa Kamati ya Mapokezi.

Timu inasota kusaka ushindi dhidi ya timu changa [emoji2957]
 
Ndio Yanga hii iliyo mfunga Simba msimu huu na Bado wanaongoza Ligi.
 
Yanga wanaishi katika kivuli cha uhalisia lakini si uhalisia....Yanga bado wana safari ndefu kama timu lakini baada bahati mbaya viongozi waitumia mihemko ya mashabiki wao kuwajaza uongo....ngoja tuone......
 
Kila mtu ana hakinya kutoa maoni yake,uwe wewe au sunday manara,lakini yanga inasonga mbele na huki tutaongea tu,subirini
 
Nimefurahi timu kongwe inasota kusaka ushindi dhidi ya timu changa..[emoji12][emoji12]
labda hukuona mpira yanga ajasota amefika golini mara 500 sema haikuwa bahati yao
 
haijawahi maliza genye za yanga inampiga kimoko na inajikuta bado inataka tena

subiri mwez may tuone kama burudani yake itamaliza genye za yanga
Unatusanifu yanga na Ushindi wenu wa mwaka jana wa Simba 4 - Yanga 1
 
Kufika golini mara 500 halafu kagoli kamoja ndio kusota huko. Halafu kwa timu ya level ile kuongelea bahati ni bora Nsajigwa angepewa timu.
utakua mgeni na mchezo wa soko ile timu iko ligi daraja la kwanza nafasi ya 3 sio ya kubeza

simba alitolewa na green worias unajua walikuwa daraja gani?

Mpira ungekuwa hivo leceister city asinge chukua ubingwa maana hakuwa level ya man u, man city, ama liva
 
Mnaumia sana. Nyie mshazoea mwaka ule mwingine mlipigwa 5-0 mwaka jana 4-1 mpaka mnaona ni haki yenu.... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe umeweka kumbukumbu kabisa.
zile 5 huku 3 zikiwa penati hahahaha pale refa alionesha mahaba.wazi wazi penati 3 leo yanga anapata penati 1 anaambiwa kasotea ushindi
 
zile 5 huku 3 zikiwa penati hahahaha pale refa alionesha mahaba.wazi wazi penati 3 leo yanga anapata penati 1 anaambiwa kasotea ushindi
Mwerevu akivuliwa nguo huchutama. Kile kipigo kilikuwa kibaya. Tulizidiwa. Ni kama kipigo cha 4-1 kilikuwa cha kuumiza.

Luis anazunguka uwanjani akiwakusanya wachezaji wa yanga na kuwachambua kama karanga. Ni aibu sana. Acha tuwe tunafurahia kutoa draw na simba.

Your browser is not able to display this video.
 
zile 5 huku 3 zikiwa penati hahahaha pale refa alionesha mahaba.wazi wazi penati 3 leo yanga anapata penati 1 anaambiwa kasotea ushindi
Your browser is not able to display this video.

Hapa Tulidhalilishwa sana. Tufikie tu Makubaliano kama taifa kuwa Simba kwa sasa ni team nzuri hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…