kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
[emoji319][emoji324][emoji323]Mimi nasubiri wafasi Fc tu[emoji460]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hela inatoka mfukoni mwa Diamond au kampuni?Naliona hilo ila wasiwasi wangu tu ni kwamba vipi Siku moja Mtu anayewapa hii ' Jeuri ' yote CEO wao Msanii Nasib Abdul ' Diamond Platinumz ' ikitokea ' akafilisika ' itakuwaje? Tukumbuke kuwa hakuna Binadamu ambaye ameshahakikishiwa na Mwenyezi Mungu kuwa atakuwa ' Tajiri ' Milele na kwa hapa Tanzania tuna mifano mingi tu ya Watu ambao miaka ya nyuma ndiyo walikuwa na ' Jeuri ' na ' Nyodo ' hasa Kipesa ( Kiutajiri ) lakini leo hii wamekuwa ' Masikini ' hadi ukiwaona Mitaani wanatia Huruma na unaweza hata kutokwa na Machozi. Mmoja wapo kuna Kituo cha DalaDala eneo la Sinza kimeitwa kwa Jina lake.
Hauko sawa hata kidogo. kubadilisha kaz katika misingi ya kutafuta changamoto mpya sambambana na kukuza kipato si kosa. usilete hisia linapokuja swala la maslahi.Naliona hilo ila wasiwasi wangu tu ni kwamba vipi Siku moja Mtu anayewapa hii ' Jeuri ' yote CEO wao Msanii Nasib Abdul ' Diamond Platinumz ' ikitokea ' akafilisika ' itakuwaje? Tukumbuke kuwa hakuna Binadamu ambaye ameshahakikishiwa na Mwenyezi Mungu kuwa atakuwa ' Tajiri ' Milele na kwa hapa Tanzania tuna mifano mingi tu ya Watu ambao miaka ya nyuma ndiyo walikuwa na ' Jeuri ' na ' Nyodo ' hasa Kipesa ( Kiutajiri ) lakini leo hii wamekuwa ' Masikini ' hadi ukiwaona Mitaani wanatia Huruma na unaweza hata kutokwa na Machozi. Mmoja wapo kuna Kituo cha DalaDala eneo la Sinza kimeitwa kwa Jina lake.
Mbona clouds wana vipindi bomba vingi tu! Kuna jahazi (japo niliipenda sana ile ya akina kibonde) kuna xxl, kuna sport etra, kuna top 20 na njia panda. Hivi ni moja ya vipindi bora kabisa nnavyopenda kusikiliza.Redio clouds wamekwisha siku hizi..mara chache mimi husikiliza jioni kipindi cha malard Ayo na Mina ally..sijui kipindi kingine chochote cha clouds
Duuh hadi Zembwela
Ndugu yangu, comment yangu umeielewaje? Nashangaa kuwa nae kabebwa sio hivyo unavyofikiriYupo vizuri yule jamaa sema labda humjui vizuri
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer..
Nimeandika hapo juu kama mwenyewe unavyojiita, Majibu yako yamedhihirisha kabisa wewe ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer.." Wengi hawawezi elewa hili, hata hii inaitwa Bongo Movie na Bongo fleva ina dark side nyingi sana kuanzia Kudanga, Ukuwadi, Ushoga na hili lingine naomba namimi niishie hapa..
Kwani hela inatoka mfukoni mwa Diamond au kampuni?
Redio clouds wamekwisha siku hizi..mara chache mimi husikiliza jioni kipindi cha malard Ayo na Mina ally..sijui kipindi kingine chochote cha clouds