Hii 'zoa zoa' na 'nyakua nyakua' ya Wasafi FM kwa watangazaji mahiri wa redio nyingine inamaanisha nini?

Mtoto: baba nikiwa mkubwa nataka kumiliki radio tapata wapi watangazaji

Mimi: mwanangu usijali watangazaji wa bongo utawakuta tu wapo kina maulid wakitenge, kina abubakari sadik yani utawajiri tu baba, hawana ujanja watakukimbilia tu
 
Naliona hilo ila wasiwasi wangu tu ni kwamba vipi Siku moja Mtu anayewapa hii ' Jeuri ' yote CEO wao Msanii Nasib Abdul ' Diamond Platinumz ' ikitokea ' akafilisika ' itakuwaje? Tukumbuke kuwa hakuna Binadamu ambaye ameshahakikishiwa na Mwenyezi Mungu kuwa atakuwa ' Tajiri ' Milele na kwa hapa Tanzania tuna mifano mingi tu ya Watu ambao miaka ya nyuma ndiyo walikuwa na ' Jeuri ' na ' Nyodo ' hasa Kipesa ( Kiutajiri ) lakini leo hii wamekuwa ' Masikini ' hadi ukiwaona Mitaani wanatia Huruma na unaweza hata kutokwa na Machozi. Mmoja wapo kuna Kituo cha DalaDala eneo la Sinza kimeitwa kwa Jina lake.
Kwani hela inatoka mfukoni mwa Diamond au kampuni?
 
Redio clouds wamekwisha siku hizi..mara chache mimi husikiliza jioni kipindi cha malard Ayo na Mina ally..sijui kipindi kingine chochote cha clouds
 
Hauko sawa hata kidogo. kubadilisha kaz katika misingi ya kutafuta changamoto mpya sambambana na kukuza kipato si kosa. usilete hisia linapokuja swala la maslahi.
 
Redio clouds wamekwisha siku hizi..mara chache mimi husikiliza jioni kipindi cha malard Ayo na Mina ally..sijui kipindi kingine chochote cha clouds
Mbona clouds wana vipindi bomba vingi tu! Kuna jahazi (japo niliipenda sana ile ya akina kibonde) kuna xxl, kuna sport etra, kuna top 20 na njia panda. Hivi ni moja ya vipindi bora kabisa nnavyopenda kusikiliza.
 
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer..

Nimeandika hapo juu kama mwenyewe unavyojiita, Majibu yako yamedhihirisha kabisa wewe ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer.." Wengi hawawezi elewa hili, hata hii inaitwa Bongo Movie na Bongo fleva ina dark side nyingi sana kuanzia Kudanga, Ukuwadi, Ushoga na hili lingine naomba namimi niishie hapa..

Huwa nafurahi sana nikiwa naeleweka na Watu wachache, makini na werevu kama Wewe Mkuu. Akhsante na tupo pamoja.
 
Kwani hela inatoka mfukoni mwa Diamond au kampuni?

Hiyo Kampuni mweka Hisa mkubwa na Mwanzilishi wake kwa kuweka Mtaji Mkubwa wa ' Rasilimali Pesa ' ni nani? Kuna Watu ni ' Wapumbavu / Mapopoma ' hadi mnakera.
 
Redio clouds wamekwisha siku hizi..mara chache mimi husikiliza jioni kipindi cha malard Ayo na Mina ally..sijui kipindi kingine chochote cha clouds

Huyo ' Malard Ayo ' kama ulivyoandika hapo juu ni nani Mkuu kwani Sisi wengi tunayemjua ni ' Millard Ayo ' pekee. Nitashukuru ukinijibu na kunifafanulia.
 
Back
Top Bottom