Hijab ni vazi la kidini au utamaduni wa kiarabu?

Hijab ni vazi la kidini au utamaduni wa kiarabu?

Uislamu ni utamaduni wa kiarabu.
Hivyo hutukuza:
1)kuanzia rangi yao, utasikia ana rangi ya Mtume
2) Mavazi Yao
3)Ngoma zao, dufu ina hadhi kuliko mkinda
4)Lugha na lafudhi Yao, kwao mtu aliye starabika awe na kalafudhi la kiarabu mdomoni mwake
 
Tajikistan, Azerbaijan na Kosovo ambazo ni nchi zenye waislamu wengi zimepiga marufuku uvaaji hijab!
Kila nchi ina mamlaka ya kuamua itakacho,lakini pia maulamaa wa kila nchi hutoa maelekezo ya vazi la staha ni lipi,maana dini ya kiislamu haijataja vazi bali imetaja vazi la staha,sasa mabingwa wa dini kwa kila nchi wanaweza kuelezea vazi la staha ni lipi na ni lazima watatofautiana tu.
 
Mbona kawaida ata kwa wanawake wa ki-Jewish hasa baada ya kuolewa. Mawili ama unavaa hijab au wigi.
 
Hijabu ni nn? kujistiri sio lazima iwe hijabu ,hata ukichukua kanga zile kama huku Tanga basi ni kujistiri...Hijab hizo ni kama mavazi hayana kosa kwa vile hayavunji mila za kujistiri... Wengine hatujawahi kuwaona dada zetu wakivaa hizo zaidi ya kanga ya kupitisha kichwani.
 
Mbona Tajikistan nchi ya Kiislamu wamepiga marufuku uvaaji hijab katika umma?
Mimi nilikua najaribu tu kujibu swali ulilouliza kuhusu hijabu,na nimejibu kwa uelewa wangu! Kwamba je ni vazi la kidini au kitamaduni?
Hayo ya Tajikistan hayakuwa sehemu ya swali na vile vile sina ufahamu nayo,wenye ufahamu nayo watatusaidai hapa.
 
Hijabu ni nn? kujistiri sio lazima iwe hijabu ,hata ukichukua kanga zile kama huku Tanga basi ni kujistiri...Hijab hizo ni kama mavazi hayana kosa kwa vile hayavunji mila za kujistiri... Wengine hatujawahi kuwaona dada zetu wakivaa hizo zaidi ya kanga ya kupitisha kichwani.
Hijab ni vazi la kidini au la kiarabu?
 
Tajikistan, Azerbaijan na Kosovo ambazo ni nchi zenye waislamu wengi zimepiga marufuku uvaaji hijab!
Uislamu ni applicable anywhere hata wale wamasai wanaweza kuvaa zile shuka kichwani ikawa ni stara ya kufunika kichwa Hijab ,Abaya ni version hazina katazo wala hazina maudhi ...Wewe tu uelewa wako juu ya jambo hilo.
 
Kwani unaweza kuutenganisha uislam na uarabu?

Hilo ni vazi la kitamaduni la kiarabu kama ilivyo kanzu. Kwahiyo hawa akina Mwamedi na Mwajuma wa huku Buza wamepewa dini na utamaduni wa mwarabu waufuate.
Ndio,kufuata utamaduni wa mtu mwingine,ambao hauna athari hasi kwako si vibaya,ni jambo zuri sana,,
Hivi naomba niwaulize kuna mtu asiyependa kuvaa vazi linalomstiri mwili wake!!??awe mwanaume au mwanamke,!!,, Kwa hata kufuata haifai uende tu kama hayawani usiyejitambua,bali wafuata kwa kuwa ni jambo zuri kwako.
 
Vazi la kusitiri mwili ni la aina gani? Vigezo vya vazi la kusitiri mwili vinawekwa na nani? Ni vya aina moja kwa binadamu wote duniani?
20250514_091541.jpg

Huyu amesitiri mwili?
 
Tajikistan, Azerbaijan na Kosovo ambazo ni nchi zenye waislamu wengi zimepiga marufuku uvaaji hijab!
Nyie wakristo ni watu wa ajabu sana. Kwa hivyo hapo umefurahi kusikia wamepiga marufuku uvaaji wa hijabu. Hao viongozi waliopiga marufuku sio waislamu na kama wakijiita waislamu basi ni wanafiki kwani muislamu wa kweli hawezi kupiga marufuku amri ya Mwenyezi Mungu. Hijabu ni amri ya Mwenyezi Mungu kwa wanawake waumini na sio kwa waarabu
 
Vazi la kusitiri mwili ni la aina gani? Vigezo vya vazi la kusitiri mwili vinawekwa na nani? Ni vya aina moja kwa binadamu wote duniani?
View attachment 3333293
Huyu amesitiri mwil
La mhimu ni kustiri mwili,sasa vigezo vyaweza tofautiana kati ya nchi na nchi,,lkn mwislamu ni mhimu na lazma kwa mwanamke kujistiri pia kichwani, angalau kwa kanga.
 
Wakristo wengi huwa wanawapenda waislamu ambao hawavai hijabu, ambao hawasali swala tano, ambao wanakunywa pombe n.k. ila ukiwa muislamu unayevaa hijabu, unaswali na unatii maamrisho ya dini yako basi Wakristo wengi hawakupendi.

Hii inasababishwa na kwamba ndani ya nafsi zenu mnaona husuda kwa kuwaona waislamu wanafuata dini yao kikamilifu hali ya kuwa nyinyi mna dini yenu lakini hamuifuati.

Kila mtu abaki na dini yake
 
Labda tuwaulize ndugu zetu wakristo ile picha ya bikira Maria tunayoonyeshwa akiwa amevaa hijabu je na yeye imekuwaje? Na masista mbona wanavaa shungi na magauni marefu ile nayo ni nini vile?

Ul
 
Wakristo wengi huwa wanawapenda waislamu ambao hawavai hijabu, ambao hawasali swala tano, ambao wanakunywa pombe n.k. ila ukiwa muislamu unayevaa hijabu, unaswali na unatii maamrisho ya dini yako basi Wakristo wengi hawakupendi.

Hii inasababishwa na kwamba ndani ya nafsi zenu mnaona husuda kwa kuwaona waislamu wanafuata dini yao kikamilifu hali ya kuwa nyinyi mna dini yenu lakini hamuifuati.

Kila mtu abaki na dini yake
Kila mtu abaki na dini yake na hakuna haja ya kuingilia dini za watu wengine
 
Kuna wale ubakuta kavaa hijab, halafu huku chini mtindi uko wazi, kavaa suruali bwanga nyepesiii mpaka rangi ya kyupi inaonekana.
Ila nae anajinasibu kajistiri.
 
Back
Top Bottom