joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Kanzu ni moja la vazi la kabila la wahaya,tena mara nyingi huongezea na koti na hata kwa waganda.Wanasema kanzu sio vazi la kidini linaweza kuvaliwa na yoyote, huwa naona wanaume wengi Wagalatia wanavaa kanzu ila sio rahisi kuona wanawake Wagalatia hasa watu wazima sana wamevaa hijab.
Wamependeza 🥰
hakuna nchi ya kiislamu kwa sasa bali kuna nchi ya waislamuMbona Tajikistan nchi ya Kiislamu wamepiga marufuku uvaaji hijab katika umma?
Ni kweli kabisa. Quran imesisitiza vstara kwa wanawake na wanaume . Na wanawake wameambiwa wafunike vifuo vyao . Hayo mengine ni makubaliano ya maulamaa kutokana na mila zao huko. Sisi ni ku copy na kupaste kila kituKila nchi ina mamlaka ya kuamua itakacho,lakini pia maulamaa wa kila nchi hutoa maelekezo ya vazi la staha ni lipi,maana dini ya kiislamu haijataja vazi bali imetaja vazi la staha,sasa mabingwa wa dini kwa kila nchi wanaweza kuelezea vazi la staha ni lipi na ni lazima watatofautiana tu.
Dini nyingi zimebeba mambo ya utamaduni wa watu wakafanya ni sehemu ya imani. Kwa Kakobe pale wanawake walikua wanavaa viremba kufunika vichwa sijui kama wanaendelea.Hili vazi la hijab ambalo huvaliwa zaidi na wanawake wengi wa dini ya Kiislamu na Waarabu ni vazi la kidini(uislamu) au la utamaduni wa Waarabu?
View attachment 3333245
Ni la kiarabu ndio maana Uturuki asilimia kubwa ni waislam ila hawavaiHili vazi la hijab ambalo huvaliwa zaidi na wanawake wengi wa dini ya Kiislamu na Waarabu ni vazi la kidini(uislamu) au la utamaduni wa Waarabu?
View attachment 3333245
Hizo ni mila na desturi za waarabu.Hili vazi la hijab ambalo huvaliwa zaidi na wanawake wengi wa dini ya Kiislamu na Waarabu ni vazi la kidini(uislamu) au la utamaduni wa Waarabu?
View attachment 3333245
sahihi kabisaNi kweli lakini wengi waovaa ni waislam ambao wanafuata mila na tamaduni za kiarabu
Kamuulize Mariam!Hili vazi la hijab ambalo huvaliwa zaidi na wanawake wengi wa dini ya Kiislamu na Waarabu ni vazi la kidini(uislamu) au la utamaduni wa Waarabu?
View attachment 3333245
unatumia silaha nzito sanaKamuulize Mariam!
Mama Ake Yesu.
hapana,sio kweli waarabu kwanza hawakuwa na dini,aliyewaingiza uislamu ni mtume muhammad,hivyo uislabu na uarabu ni vitu tofautiUislam wenyewe ni Utamaduni wa Waarabu..
Acha uongo:hapana,sio kweli waarabu kwanza hawakuwa na dini,aliyewaingiza uislamu ni mtume muhammad,hivyo uislabu na uarabu ni vitu tofauti
Kweli kabisa,waambie hao.😁💪💪Wakristo wengi huwa wanawapenda waislamu ambao hawavai hijabu, ambao hawasali swala tano, ambao wanakunywa pombe n.k. ila ukiwa muislamu unayevaa hijabu, unaswali na unatii maamrisho ya dini yako basi Wakristo wengi hawakupendi.
Hii inasababishwa na kwamba ndani ya nafsi zenu mnaona husuda kwa kuwaona waislamu wanafuata dini yao kikamilifu hali ya kuwa nyinyi mna dini yenu lakini hamuifuati.
Kila mtu abaki na dini yake