Hiki chakula kwa lugha ya kwenu wanaitaje?

Acha kabisa Kaka. Na hii ramadhani ndo futari kubwa.

Kikubwa visamaki tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haswaaa. Kesho nlikuwa nivune ndugu yangu halafu usafiri na meli uje Zenji. Tatizo mvua kubwa naskia huko Tanga.

Unaifungia wapi??
 
tatizo la haya madude huwa ni ladha yake mseto[emoji1][emoji1][emoji1]

unawezakula kipande A ukakuta poa sana.
kipande B kikawa kile kisichoiva,C ukakuta mzizi,D ukakuta kichungu,mpaoa hapo na mzuka unakata[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…