Hiki chakula kwa lugha ya kwenu wanaitaje?

Hiki chakula kwa lugha ya kwenu wanaitaje?

Mungu ni mwema. Jana huku kwetu watu wamekwenda kama kawaida aiseee.

Na juu ya mawingu kufunga ma-hallat wa kizanzibari teleee darajani kutafuta nguo za skukuu
Afadhali aisee.

Ndo tushazowea hivyo Kaka. Hapo ni mpaka Ramadhani iishe ndo na purukushani zitaisha.
 
Canica papaya[emoji23][emoji23]

(Sitaki kusahihishwa)
 
Hicho chakula majina yake yanabadilika kama Mchele. Mchele waweza kuwa Wali, Bokoboko, Pilau, Biriani nk.

Mihogo vile vile unaweza kupata vyakula kibao kulingana na aina ya maandalizi yake.
 
Back
Top Bottom