Hiki chombo cha usafiri kinaninyima utulivu

MtotoKautaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
373
Reaction score
895
Wakuu nilikuwa na ndoto za kumiliki angalau pikipiki kwasasa ili kunipungizia gharama za daladala na boda pia kunipungizia michosho itokanayo na kutembea Kwa miguuu.

Nikaliweka hilo swala kwenye mipango yangu ya muda mfupi (short-term plan) ili kuhakikisha naipata as soon as possible.

Nikaanza kujichanga na kupunguza matumizi kweli nilikuwa siku nyingine nakula mlo mmoja kwa siku yani nikila saasita au saba mchana hiyo mpka kesho labda sana jioni napiga zangu mihogo na juice ya jero nalala nilihakikisha Kwa siku situmii zaidi ya buku tatu kwenye msos.

Nilijikaza sana na kuhakikisha nabaki kwenye mpango wangu na Mungu si athumani baada ya miezi kama 3 nikapata pesa ya kutosha kumiliki pikipiki used aina ya boxer BM150. Nilitumia total tsh 1.2 mil kununua hiyo pikpik.

Sasa kilichofata ni woga yani kila napoenda na kulazimika kuipaki sehemu ili nipate huduma labda kama ni restaurant au huduma yoyote sehemu yoyote naifunga lakin bado ninakuwa na hofu itaibiwa.

Nikienda restaurant nakaa karibu na dirisha muda wote nainua shingo kuiangalia kama ipo au wahuni washanipokonya kijiti.

Nikirudi home labda kupumzika kidogo baada ya kuchoka na mishe mishe nikiipaki nje nikienda ndani hakukaliki kichwa kinawaza tu chuma yangu ipo au imeibiwa. Mpka nashawishika kuifungia kifaa ambacho ikichukuliwa mimi kwenye cm nipate alarm.

Nawaza hata kuiuza maana nahisi itanitesa sana kiakili sina utulivu naiwaza yenyewe tu hata bebe mama wangu simuwazi kama navoiwaza hii chombo wazee.

Nipeni uzoefu hivi hii hali ni ya kawaida au ni ushamba nipubvuze wenge?
 
Nipeni uzoefu hivi hii hali ni ya kawaida au ni ushamba nipunguze wenge?
NDIO, Ni Ushamba so punguza wenge.

Hongera kwa kuwa na mipango na kuiweza kuitekeleza, hio ni hatua kubwa sana ya mafanikio yako hapo mbeleni. Endelea kuwa na mipango utafanikiwa vingi sana kwenye maisha yako. HONGERA sana.

Be a Man, acha wenge na endelea kufocus na issues nyingine. Hakikisha unapaki sehemu za wazi ambapo ni rahisi kuiona. Mengine muachie Mungu. Kuwa makini barabarani.
 
Kawaida hyo. Gari yangu ya kwanza nilikuwa naamka usiku kuchungulia kama ipo na nyumba ina geti.
 
NDIO, Ni Ushamba so punguza wenge.

Hongera kwa kuwa na mipango na kuiweza kuitekeleza, hio ni hatua kubwa sana ya mafanikio yako hapo mbeleni. Endelea kuwa na mipango utafanikiwa vingi sana kwenye maisha yako. HONGERA sana.

Be a Man, acha wenge na endelea kufocus na issues nyingine. Hakikisha unapaki sehemu za wazi ambapo ni rahisi kuiona. Mengine muachie Mungu. Kuwa makini barabarani.
Nashukuru Kwa ushauri Mkuu asee ntapambana kutimiza malengo yangu maana fainali uzeeni. Maswala ya kugongea chai asubuhi uzeeni so mazuri
 
Back
Top Bottom