Hiki chombo cha usafiri kinaninyima utulivu

Hiki chombo cha usafiri kinaninyima utulivu

Kuna Msingi mmoja alinunua gari baada ya kustaafu,akaweka utaratibu wa zamu,kila siku analala Mtu mmoja ndani ya gari,hadi mkewe,watoto,vijana wa kazi ,kila Mtu anasiku ya kulala kwenye gari,Ingawa kulikuwa na geti...nikakumbuka enzi za tv zinatengenezewa sehemu ya lock kwenye kabati la vyombo sebuleni
 
Na usijichanganye tena 150 hiyo ni keki
Mi tvs naitunza chumbani kabisa hakuna kitu napenda kama hii kitu
 
Funga gps ya kuitrack ikiibiwa inaweza kukusaidia kupunguza hofu ya kuibiwa
 
Back
Top Bottom