Hiki kiarabu kina maana gani?

Sio kwamba hujaelewa ila umeamua kujitoa akili, maelezo yangu yako wazi kabisa.

Nimeelezea kwanini hiyo ni shiriki, ama hujaona niliposema hiyo ni shiriki?

SOMA TENA.
 
Hapo kuna kifurushi cha jini maimuna 3 na jini makata 6
 
Sio kwamba hujaelewa ila umeamua kujitoa akili, maelezo yangu yako wazi kabisa.

Nimeelezea kwanini hiyo ni shiriki, ama hujaona niliposema hiyo ni shiriki?

SOMA TENA.
Sheikh, kwenye dini kwenyewe Allah hataki uamini tu kuna Mungu! Bali anataka mja wake uwe na dalili ya kuamini uwepo wake kisha ndipo uamini.

Na ndiyo maana tukapewa nasiha kwamba "Al elmu qablal qaul wal amal".

Kwenye dini tunaambiwa Al Qur'anu wa sunna aswilu. Wafarqihi Al Ijmai wal Qiyas. Hizi zinaitwa dalili za sheria.

Hivyo ikitamkwa hili suala ni halali inabidi itolewe na dalili yake. Halikadhalika ikisemwa hii ni haramu inabidi isemwe dalili yake na nikupe mfano!

Pombe ni haramu! Lakini Qur'an imezungumzia Al khamru. Hii ni aina ya pombe itokanayo na mzabibu, ni mvinyo.

Wapi pombe ya mtama kwamba ni haramu? Au wapi pombe ya shairi?

Uharamu wake unakuja wapi pombe zote hapo zinaiangia. Inabidi uje kwenye hillatul hukumu.

Hila yake ni nini? Assukuru yaani kilevi. Kwa hiyo kila kilevi hata kama ni majani kwa kuwa yanalevya ni haramu.

Suji tumefahamiana?

Maadamu umesema hiyo ni shirki, tusaidiane dalili ila nami nielewe! Kama ni shirki, ushirikina wake ni upi? Wewe umesema tu ni shirki hukutoa sababu kwa nini ni shirki!

Kwa sababu kwenye dini hakuna hukumu kali kama kumwambia mwenzako anafanya shirki. Unamtoa mwenzako kwenye uislamu.

Hili ni jambo zito sana ndugu yangu!

Ndiyo maana natafuta ushahidi! Ili na mimi nikilikemea niwe na ushahidi wa kuuelezea.
 
Mambo sio rahis hivo km mnavosumulia
Sasa kama tumepitia yote hayo hiyo sio nadharia, hayo mambo yapo na process ni hizo sio lazima uamini, so km huamini achilia mbali maana hatulipani hapa tunapiga story tu.
 
Hapo amekopi sura ya quran,(sura ya 110) ameongeza na dua na herufi za kiarabu mwisho kamalizia kumswalia mtume.
Hakuna cha ajabu chochote.
 

Attachments

  • Screenshot_20241228_133035_Divine Pearls.jpg
    410.5 KB · Views: 2
Hapo amekopi sura ya quran,(sura ya 110) ameongeza na dua na herufi za kiarabu mwisho kamalizia kumswalia mtume.
Hakuna cha ajabu chochote.
Ulichokielezea ndicho mimi nilichokiona ijapokuwa wengine wamesema ni shiriki.

Naajaribu kuuliza naonakena nakaza nati kichwani.

Kama ni ushirikina, watusaidie ili nasi tuwaelimishe watu.

Na mojawapo ya faida ya kusoma hiyo sura ni ku solve financial issues.
 
Mwandishi naye magumashi tu, angekuwa ameiva Mungu angemtaja kwa jina la Rabana.
 
Sio kwamba hujaelewa ila umeamua kujitoa akili, maelezo yangu yako wazi kabisa.

Nimeelezea kwanini hiyo ni shiriki, ama hujaona niliposema hiyo ni shiriki?

SOMA TENA.
Nani kakuambia ufungue ndani ya hirizi?
 
Huyo ni mganga mshirikina sio Shekhe. Waganga Wana tabia za kuitumia Qur'an wakachanganya na madudu yao mengine wakaandika talasisi. Na ndicho ambacho kimefanyika hapo.
 
akanipa hili karatasi kama niweke kwenye wallet
- Kwa mujibu wa AI kilicho andikwa ni hiki:

Zaidi Bofya spoiler


 
Hiyo dini ya muarabu inawatesa sana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…