Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikuelezee kwa ufupi jinsi uchawi/uganga unavyofanya kazi kisha ndo utaelewa kwanini huwa wanatumia quran kufanyia mambo yao.Mganga analoga kwa kutumia mistari.
Sheikh anakuombea kutumia mistari hiyo hiyo iko kwenye kitabu kimoja.
Kaangalie kwenye Bukhari, Sunan Abu Dawud na Tirmidhi.
Alienda kwa waarabu watarajiwa (waislam weusi)Ulienda kwa Washirikina.
Safi umechambua vyema mkuu, kama huyu jamaa hakushuhudia hao ndege wanachinjwa ikaandikwa zafara then kapigwa maana hata marker peni nyekundu inaandika tu.Juu ya karatasi kaandika surat nasr (idhajaa), kushoto ni kamtaja Allah (the almighty mara tatu) , chini ni dua na katika kibox ni herufi tu za kiarabu , ila kuna shida mahali 👇👇👇
"Nilikuwa Nina shida Fulani, itabidi nikamuone shekhe ndio anaweza kunisaidia........."
1. Tengua hiyo kauli hapo juu hakuna shaikh anaweza kukusaidia ukiwa na shida si shaikh tu hakuna nabii wala mtume (hapa naongelea wakina Nuhu(alayhi salaam), ibrahim(alyhi salaam) , isa(alayhi salaam) na hata mtume muhammad (swalallahu alayhi wasalam) anayeweza kukusaidia ukiwa na shida anayeweza hayo ni ALLAH (the almighty) PEKEEE HAKUNA MWENGINE FULL STOP
2. Watu tunapokosea ni kwamba hatufanyi ibada , wala kujituma kukamilisha ibada za faradhi na nyenginezo kwa wakati na kujikurubisha kwa Muumba wetu halafu tunataraji tukipata shida na matatizo ndo tunamkumbuka 😂 utaenda kwa mashaikh , utaenda kwa waganga utamaliza kila kitu kumbe tatizo ni WEWE.
3. SISAPOTI KWENDA KWA SHAIKH ILI KUTATULIWA SHIDA ZAKO , MAOMBI YAKO KWENYE SIJDA YANA NGUVU KULIKO KITU CHOCHOTE HIVYO KAMA UNA SHIDA JUA WEWE NDO UNA NAFASI KUBWA YA KUSIKILIZWA NA MUUMBA KULIKO MWENGINE IBADA IBADA IBADA FULLSTOP.
4. KWA MSAADA WA HARAKA CHUKIA KIBERITI CHOMA HIYO TAWIZ , yaani unaandikiwa dua kwenye karatasi kwa kutumia zafarani halafu anakwambia ubebe nenda kachome hiyo kitu hakuna mtu anaweza kukusaidi kwa kukuandikia dua chache kwenye karatsi shida ipo kwako , kwa msaada kachukue wudhu swali na kila sijda lalamika kweli kweli mpaka ujibiwe inshaallah.
N.B
kuna watu ni waganga ila wanatumia kivuli cha dini kujitia u shaikh chungeni mtabebeshwa majini
Umewafafanulia vizuri, labda wao tu wakaze vichwa kuelewa.Sheikh, kwenye dini kwenyewe Allah hataki uamini tu kuna Mungu! Bali anataka mja wake uwe na dalili ya kuamini uwepo wake kisha ndipo uamini.
Na ndiyo maana tukapewa nasiha kwamba "Al elmu qablal qaul wal amal".
Kwenye dini tunaambiwa Al Qur'anu wa sunna aswilu. Wafarqihi Al Ijmai wal Qiyas. Hizi zinaitwa dalili za sheria.
Hivyo ikitamkwa hili suala ni halali inabidi itolewe na dalili yake. Halikadhalika ikisemwa hii ni haramu inabidi isemwe dalili yake na nikupe mfano!
Pombe ni haramu! Lakini Qur'an imezungumzia Al khamru. Hii ni aina ya pombe itokanayo na mzabibu, ni mvinyo.
Wapi pombe ya mtama kwamba ni haramu? Au wapi pombe ya shairi?
Uharamu wake unakuja wapi pombe zote hapo zinaiangia. Inabidi uje kwenye hillatul hukumu.
Hila yake ni nini? Assukuru yaani kilevi. Kwa hiyo kila kilevi hata kama ni majani kwa kuwa yanalevya ni haramu.
Suji tumefahamiana?
Maadamu umesema hiyo ni shirki, tusaidiane dalili ila nami nielewe! Kama ni shirki, ushirikina wake ni upi? Wewe umesema tu ni shirki hukutoa sababu kwa nini ni shirki!
Kwa sababu kwenye dini hakuna hukumu kali kama kumwambia mwenzako anafanya shirki. Unamtoa mwenzako kwenye uislamu.
Hili ni jambo zito sana ndugu yangu!
Ndiyo maana natafuta ushahidi! Ili na mimi nikilikemea niwe na ushahidi wa kuuelezea.
Mfanyaji ni Mungu siku zote. Yeye ndiye Mola wa ulimwengu wote.Tengua hiyo kauli hapo juu hakuna shaikh anaweza kukusaidia ukiwa na shida si shaikh tu hakuna nabii wala mtume (hapa naongelea wakina Nuhu(alayhi salaam), ibrahim(alyhi salaam) , isa(alayhi salaam) na hata mtume muhammad (swalallahu alayhi wasalam) anayeweza kukusaidia ukiwa na shida anayeweza hayo ni ALLAH (the almighty) PEKEEE HAKUNA MWENGINE FULL STOP
Sheikh mbona maswahaba walivyokuwa na matatizo bado walimkimbilia Mtume? Mbona Mtume hakuwaambia nimeshawafundisha jinsi ya kumuomba Mola wenu nendeni mkafanye ibada awatatulie matatizo yenu? Mtume aliwasaidia masahaba zake. Hapa napo vipi? Hawajitumi kwenye ibada? Wana makando yao?Watu tunapokosea ni kwamba hatufanyi ibada , wala kujituma kukamilisha ibada za faradhi na nyenginezo kwa wakati na kujikurubisha kwa Muumba wetu halafu tunataraji tukipata shida na matatizo ndo tunamkumbuka 😂 utaenda kwa mashaikh , utaenda kwa waganga utamaliza kila kitu kumbe tatizo ni WEWE.
Watu hawasomi dini!a ya hapo akachora jedwali! mwengine kaandika herufi ya waw yarabu. Kisha akachora symbol kama ya ua.
Huko kwengine kwa upande mwengine wa jedwali kaandika " Allahumma" mara 4.
Kisha kwa chini akaandika maneno yafuatayo "Mola wangu wewe ndiye
Umewafafanulia vizuri, labda wao tu wakaze vichwa kuelewa.
Mtafsirie wewe Abdu Shiraz bin Khatoum.😂😂 hatari sana.
mshamba_hachekwi.
My name is Clinton Makaay.Mtafsirie wewe Abdu Shiraz bin Khatoum.
Sio Makaay ni McKay🤣My name is Clinton Makaay.
Kijana hiyo ni Dutch name.Sio Makaay ni McKay🤣
Na albdii je?Labda nikuelezee kwa ufupi jinsi uchawi/uganga unavyofanya kazi kisha ndo utaelewa kwanini huwa wanatumia quran kufanyia mambo yao.
1. Kwanza jua uchawi haufanyi kazi ispokuwa kwa amri ya Allah( the almighty ) maana yeye ndiyo source ya elimu zoote tunazozijua na tusizozijua enzi za nabii sulaiman ( alayhi salaam ) walitumwa malaika wawili harut na marut kuja wakiwa na elimu ya uchawi kama mtihani kwa umma wa nabii sulaiman na hawakumkaribia mtu yeyote ispokuwa walimwambia wao ni mtihani na watu wasijifunze yale waliyonayo ila shaitan wakawadanganya na kuwafunza watu uchawi/uganga/ushirikina ushahidi ni kwenye surat baqara aya ya 102.
Al-Baqarah 2:102
وَٱتَّبَعُوا۟ مَا تَتْلُوا۟ ٱلشَّيَٰطِينُ عَلَىٰ مُلْكِ سُلَيْمَٰنَۖ وَمَا كَفَرَ سُلَيْمَٰنُ وَلَٰكِنَّ ٱلشَّيَٰطِينَ كَفَرُوا۟ يُعَلِّمُونَ ٱلنَّاسَ ٱلسِّحْرَ وَمَآ أُنزِلَ عَلَى ٱلْمَلَكَيْنِ بِبَابِلَ هَٰرُوتَ وَمَٰرُوتَۚ وَمَا يُعَلِّمَانِ مِنْ أَحَدٍ حَتَّىٰ يَقُولَآ إِنَّمَا نَحْنُ فِتْنَةٌ فَلَا تَكْفُرْۖ فَيَتَعَلَّمُونَ مِنْهُمَا مَا يُفَرِّقُونَ بِهِۦ بَيْنَ ٱلْمَرْءِ وَزَوْجِهِۦۚ وَمَا هُم بِضَآرِّينَ بِهِۦ مِنْ أَحَدٍ إِلَّا بِإِذْنِ ٱللَّهِۚ وَيَتَعَلَّمُونَ مَا يَضُرُّهُمْ وَلَا يَنفَعُهُمْۚ وَلَقَدْ عَلِمُوا۟ لَمَنِ ٱشْتَرَىٰهُ مَا لَهُۥ فِى ٱلْءَاخِرَةِ مِنْ خَلَٰقٍۚ وَلَبِئْسَ مَا شَرَوْا۟ بِهِۦٓ أَنفُسَهُمْۚ لَوْ كَانُوا۟ يَعْلَمُونَ
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Na wakafuata yale waliyo zua mashet'ani kuuzulia ufalme wa Su leiman. Na wala Suleiman hakukufuru, bali mashet'ani ndio walio kufuru, wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru. Wakajifunza kwa hao wawili yale ya kumfarikisha mtu na mkewe. Wala hawawezi kumdhuru mtu ila kwa kutaka Mwenyezi Mungu. Na wanajifunza yatayo wadhuru wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba aliye khiari haya hatakuwa na fungu lolote katika Akhera. Na hakika ni kiovu mno walicho jiuzia nafsi zao laiti wangelijua.
English - Tafsir Ibn Kathir (Abridged)
UCHAWI UNAFANYAJE KAZI?
2. Mchawi na mganga huwa wanaingia mkataba na shaitan hapa shaitan atataka mtu huyu amuabudu yeye badala ya Allah( the almighty) na kisha huyu shaitan atamfanyia mtu huyu yale mambo atakayoyataka ambayo yapo ndani ya uwezo wake si nje ya uwezo wake na pia atamfunza mtu huyo elimu za kishirikina ambazo hazitomsaidi kwa lolote lile zaidi ya kumuondoa kwenye uislamu , kumdhalilisha (kula vilivyooza, kutembea uchi na kujiabisha ) mwisho wa siku akifa katika hali hii basi ataenda motoni milele.
3. Na ili uchawi utimie inabidi KUFURU kubwa sana itendeke ukubwa wa kufuru ndiyo jinsi uchawi unavyoweza kufanya kazi kwa haraka , sasa ni kufuru gani kubwa na itakayomkasirisha Allah (the almighty) zaidi ya kuchukua maneno yake (quran) na kuyachafua na kuyanajisi? Ndiyo maana unakuta wanaandika aya za quran kupitia vitu vichafu kama damu za hedhi, wanasomea quran chooni , wanazikanyaga , wanazifutia uchafu wote, wananyonga wanyama badala ya kuchinja, wanafukia vitoto vidogo vikiwa hai n.k yoote ni kwamba kufuru inapokuwa kubwa basi ombi lao hujibiwa wakati wakijua kabisa wataishia jehannam.
4. Sasa kwanini quran?? Ndiyo kitabu pekee cha kweli chenye kubainisha haki na batil chenye ujumbe ulionyooka kwa binadamu na majini kuinajisi quran ni kuvuka mipaka na kujitia alama ya moja kwa moja ( kama hatoachana na uchawi huo na kurudi kwenye uislamu) ndiyo maana washirikina lazima wainajisi quran na si kwamba wanaitumia kwa sababu ni elimu iliyo ndani yake HAPANA HAKU A ELIMU YA ULOZI HUKO HAKUNA ELIMU YOYOTE YA HOVYO HUMO NDANI .
Je albadili ni uchawi au,?Labda nikuelezee kwa ufupi jinsi uchawi/uganga unavyofanya kazi kisha ndo utaelewa kwanini huwa wanatumia quran kufanyia mambo yao.