Hiki kidude (Ferris wheel) Watanzania huwa wanakionea tu kwenye TV

FYI Tz has more than 50 potential areas which can produce more than 5000MW of geothermal energy but we didn't choose that source of energy because it is not economically viable as far as Hydro power source is concerned.
 
Sasa umebadilisha gear angani umeanza kuongea kuhusu miradi "crucial". Hahaha
 
Nimekuwekea mradi wa Geothermal ambayo hamna na hamutawahi kuwa nayo halafu ukaanza kubadilisha gear angani. Ukaanza kuongea kuhusu miradi crucial.
 
FYI Tz has more than 50 potential areas which can produce more than 5000MW of geothermal energy but we didn't choose that source of energy because it is not economically viable as far as Hydro power source is concerned.
Wacha excuses. Nyinyi hamna Geothermal fullstop.
 
Nimekuwekea mradi wa Geothermal ambayo hamna na hamutawahi kuwa nayo halafu ukaanza kubadilisha gear angani. Ukaanza kuongea kuhusu miradi crucial.
Sio kwamba hatutawahi kuwa nayo ila tuliona it's not economically viable na nimekuwekea na ushahidi kwamba tulikuwa na mpango huo km nyinyi mlivyokuwa na mpango wa kujenga BRT lkn hamna pesa, ila cc pesa tulikuwa nayo lkn tukaona tujenge JNHP cz ni cheap kuliko hyo geothermal au unabisha.
 
Sipingi. Mimi nafurahi tu kwamba umekubali Kenya tuna mradi ambayo nyinyi hamna. Basi usije tena siku nyingine kusema kuwa Kenya hatuna mradi ambao haupo TZ. Hata hii expressway ambayo tumeanza kujenga miezi miwili iliyopita nyie hamna.
 
Km Tz tungeona geothermal ni crucial basi nadhani tungelikuwa top 3 wa ku produce hyo energy world wide cz we have almost 50 potential areas across the country and we have almost 5000MW zipo kwa ardhi.
Muuluze hiyo geothermal wana utumia umeme wake ipasavyo..?? Kiufupi wanataka kuifunga hiyo mitambo ya geothermal!
 
Muuluze hiyo geothermal wana utumia umeme wake ipasavyo..?? Kiufupi wanataka kuifunga hiyo mitambo ya geothermal!
Nimeshamwambia kuwa hyo source co economically viable ndo mana hatujaichagua anabisha.
 
Sipingi. Mimi nafurahi tu kwamba umekubali Kenya tuna mradi ambayo nyinyi hamna. Basi usije tena siku nyingine kusema kuwa Kenya hatuna mradi ambao haupo TZ. Hata hii expressway ambayo tumeanza kujenga miezi miwili iliyopita nyie hamna.
Ss unaingelea vitu ambavyo havipo? Ngj viishe au hata pattern ionekane ndo uongee, kuhusu geothermal nshakuambia cc tuna JNHP ambayo ndiyo wale wale ila ww nkiweka BRT system hapa we huna hata mbadala [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Muuluze hiyo geothermal wana utumia umeme wake ipasavyo? Kiufupi wanataka kuifunga hiyo mitambo ya geothermal
Tunataka kufunga thermal (diesel) sio Geothermal. Nyie watu ambao hamjaenda shule huwa munanisumbua sana.
 
Nimeshamwambia kuwa hyo source co economically viable ndo mana hatujaichagua anabisha.
Sijabisha. Wewe hutaki kukubali kuwa Kenya tuna teknolojia ambayo nyinyi hamna. Nyie mna gesi sisi hatuna, mimi sijapinga. Mbona wewe usikubali kuwa sisi tuna kitu ambacho nyie hamna?
 
Watanzania tukihitaji burudani tunatembelea mbuga za wanyama na maeneo mengine ya kiasili so dunia nzima hatuwezi kuwa na vyanzo vya burudani vya aina moja.
 
Sijabisha. Wewe hutaki kukubali kuwa Kenya tuna teknolojia ambayo nyinyi hamna. Nyie mna gesi sisi hatuna, mimi sijapinga. Mbona wewe usikubali kuwa sisi tuna kitu ambacho nyie hamna?
Hehehehehe kazi kweli kweli kutoka infrastructure mpk technology [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…