komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Endelea kuwaza ushetani tu, ukishtukizia dunia imekuacha.Akili ndogo huwa hazijiangaishi ku argue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuwaza ushetani tu, ukishtukizia dunia imekuacha.Akili ndogo huwa hazijiangaishi ku argue.
Hyo ndio umeleta ndio ya 1970, mbna kuna wakati huaga naona nkm wabongo mnakurupuka tu.View attachment 1591040
1893 Chicago, Illinois.
Sawa leta ya Dar Slum ya 1970s. Wewe umetudanganyaView attachment 1591040
1893 Chicago, Illinois.
Kweli umeishiwaHiki kidude kinaitwa Ferris wheel na Malazy huwa wanakionea tu kwenye runinga kwa sababu wao hawana. Poleni sana. Kujeni Kenya mtalii.
Msitunyanyase tundu lissu akiwa rais atatuwekea mpaka vyooni.Mkenya ana karibia kila kitu,njaa tu ndio inamuumbuaga
Yani Mimi naona mpaka haibu mtu anajiita eti mwanauchumi anatamba Kwa bembea ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa wakati Huku Zanzibar pale kariakoo ipo michezo yote tena hiyo anayoisemea ndio ndefu mpaka ukiwa juu mji wote unauona.Hivi ninyi wakunya ushamba mnaanza kuacha lini? Mtu mzima unaturingishia bembea za watoto wadogo
Ndio maana nilikuambia nataka kukupa ajira ya uhouseboy ikutoe tongotongo
Unaongea kuhusu merry go round ya plastiki iliyopostiwa humu?Yani Mimi naona mpaka haibu mtu anajiita eti mwanauchumi anatamba Kwa bembea ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa wakati Huku Zanzibar pale kariakoo ipo michezo yote tena hiyo anayoisemea ndio ndefu mpaka ukiwa juu mji wote unauona
Wakenya ni wasiokuwa versatile, yn anashindwa kufahamu kwamba hilo ni jina tu ila hizo mambo zilikuwepo tangu enzi.View attachment 1591040
1893 Chicago, Illinois.
Umeambiwa ni ya 1800s co ya 70s ok tupe tofauti na hii[emoji116][emoji116]Hyo ndio umeleta ndio ya 1970, mbna kuna wakati huaga naona nkm wabongo mnakurupuka tu..
Alafu utakuta hapo kuna mwngine atakuja kuunga
Tz co Satanic country nmeshakuambia na usitegemee ipo cku tutaweka hilo dude but kila cku huwa nawaambia linapokuja suala la crucial infrastructures hakuna ambayo ipo kenya ukaikosa Tz but kuna ambazo zipo Tz lkn kenya hamna km unabisha twende kazi [emoji3][emoji3]Tuonyeshe yenu ya 1970s
Hahahaaa kwamba kenya nzima majengo mazuri yapo hapo tu, unakubaliana naye? [emoji3][emoji3]Naton Jr umesikia Mtanzania mwenzako anavyosema?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi ninyi wakunya ushamba mnaanza kuacha lini? Mtu mzima unaturingishia bembea za watoto wadogo
Ndio maana nilikuambia nataka kukupa ajira ya uhouseboy ikutoe tongotongo