Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wala hata usipoteze muda kuniheshimu. sitahili heshima yoyote.
punguza jazba, usichukulie vitu serious saana, maisha mafupi sana haya.Sawa basi wala hata husijaribu niquote tena. Kwaheri, ignore button pressed.
Dar was an Arabic fishing village in the 70s.That $h!t was in Dar during the 70s.
Hicho kiplastiki ulichopost hakina passenger cars.Where does your definition comes from!?
View attachment 1590955
Yaani tunaanza kusumbuana issue ya bembea. Are you serious!?Hicho kiplastiki ulichopost hakina passenger cars.
Kumbe Dubai inakaa Dar aisee ckuwa najua before [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Hii ni mavi gani umepost hapa? Hata mtu hawezi kutazama nusu ya Dar akiwa ndani. Pia mtu mzima hawezi kutoshea ndani ya hicho kiplastiki. Linganisha hicho kiplastiki cha watoto na hii mashine ya watu wazima ambayo inatumika kutazama Dubai nzima.
View attachment 1590956
Angalia picha nilizopost. Unapinga tu ili upinge.Kubwa kuliko ghorofa? Ghorofa gn inayozungumzia ww [emoji3][emoji3]
Btw, wakunya wameona tunawapiga bakora kwamba hamna miundombinu wanayo cc hatuna ila cc tuna miundombinu tunayo wao hawana ndo wameleta hutu tudude twa kusifu Lucifer, cc co Satanic country so Huwez kuta huto tudude [emoji3][emoji3][emoji3]
Tony mbn unakuwa km hujaenda darasani, haya hebu angalia urefu wa hyo ferris wheel apo Dubai na hayo maghorofa kule mbele zen niambie ipi ndefu? Kuna jinc ulipaswa kuandika na co vilee, ati "ndefu kuliko ghorofa" ipi?Angalia picha nilizopost. Unapinga tu ili upinge.
Hio Ferris wheel ndio the biggest in the world. Hio Ferris wheel ni 210 metres. Ni ndefu kushinda jengo lolote hapa Afrika Mashariki. Usipinge tu kwa sababu unapenda kupinga. Tazama video fupi jinsi ilivyojengwaTony mbn unakuwa km hujaenda darasani, haya hebu angalia urefu wa hyo ferris wheel apo Dubai na hayo maghorofa kule mbele zen niambie ipi ndefu? Kuna jinc ulipaswa kuandika na co vilee, ati "ndefu kuliko ghorofa" ipi?View attachment 1591002
Sasa hapo city view utaipataje jamani[emoji23][emoji23]Sasa mara chuma mara plastic.
Hapa Funy View attachment 1590948View attachment 1590949City Dar es salaam
Wewe unaongea kuhusu Merry go round. The first Ferris wheel was the London eye and it was built more recently. So you are lying. There was no Ferris wheel anywhere in the world in the 1970s. Waongo sana nyie
Mshamba huyu chaliiUnatuchosha. Wewe ni mshamba.
Hehe! Mnaumia sana mioyoni mwenu, tunajua hilo.Dar was an Arabic fishing village in the 70s.
Umemkamata huyo mluga luga, they usually lie to prove their pointsView attachment 1591040
1893 Chicago, Illinois.