Hiki kidude (Ferris wheel) Watanzania huwa wanakionea tu kwenye TV

Hiki kidude (Ferris wheel) Watanzania huwa wanakionea tu kwenye TV

Hawa kenya-nzi bwana sijui wana matatizo gani kichwani kuanzia rais wao,makamu wao wa rais(Ruto),mpaka kiingozi wao wa wapinzani wa kiluo(Raila Odinga)
 
Hii ni mavi gani umepost hapa? Hata mtu hawezi kutazama nusu ya Dar akiwa ndani. Pia mtu mzima hawezi kutoshea ndani ya hicho kiplastiki. Linganisha hicho kiplastiki cha watoto na hii mashine ya watu wazima ambayo inatumika kutazama Dubai nzima.

View attachment 1590956
Kumbe Dubai inakaa Dar aisee ckuwa najua before [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1595613998945.jpeg
Screenshot_2020-01-06-13-38-17.jpeg
 
Kubwa kuliko ghorofa? Ghorofa gn inayozungumzia ww [emoji3][emoji3]

Btw, wakunya wameona tunawapiga bakora kwamba hamna miundombinu wanayo cc hatuna ila cc tuna miundombinu tunayo wao hawana ndo wameleta hutu tudude twa kusifu Lucifer, cc co Satanic country so Huwez kuta huto tudude [emoji3][emoji3][emoji3]
Angalia picha nilizopost. Unapinga tu ili upinge.
 
Angalia picha nilizopost. Unapinga tu ili upinge.
Tony mbn unakuwa km hujaenda darasani, haya hebu angalia urefu wa hyo ferris wheel apo Dubai na hayo maghorofa kule mbele zen niambie ipi ndefu? Kuna jinc ulipaswa kuandika na co vilee, ati "ndefu kuliko ghorofa" ipi?

tapatalk_1601888880912.jpeg
 
Tony mbn unakuwa km hujaenda darasani, haya hebu angalia urefu wa hyo ferris wheel apo Dubai na hayo maghorofa kule mbele zen niambie ipi ndefu? Kuna jinc ulipaswa kuandika na co vilee, ati "ndefu kuliko ghorofa" ipi?View attachment 1591002
Hio Ferris wheel ndio the biggest in the world. Hio Ferris wheel ni 210 metres. Ni ndefu kushinda jengo lolote hapa Afrika Mashariki. Usipinge tu kwa sababu unapenda kupinga. Tazama video fupi jinsi ilivyojengwa

 
Ni aibu kuleta utumbo kama huu ,hakuna vitu vya msingi unaona hicho kitu ndo maendeleo
 
Back
Top Bottom